Recent content by AHMEDY KIHEMBA

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ardhi university

    Hizo sio za wagumu wewe nenda hapo ARU uliza SCHOOL OF REAL ESTATE utapata story yake!!!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naweza kubadili chuo nilichopangiwa???

    Wadau nina swali hapa. Mimi nimepangiwa chuo cha SAUT bachelor of art in Public relation and marketing!!. je naweza kuwaomba TCU kunipeleka UDOM
  3. A

    JamiiForums Tanzania Sudani Kusini, Somalia zaomba uanachama Jumuiya EAC

    Heeeeeee!!!! jamani hizo nchi si mnazijua kuwa ni uwanja wa vita any time!!!! tuachane nao tutakuja kujuta
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

    daaahhhh!!!! nilijua mambo tayari!!. ngoja niendelee na kazi zangu:typing:
  5. A

    JamiiForums Tanzania Utandazaji bomba la gesi Mtwara-Dar umeanza leo

    kila la kheri!!!!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

    Tutapunzika!!!! tsasa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    Hilo jeshi la police lishazoea kutumika na halmashauli kuu ya ccm!!!!!!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

    Tuzo zimekosa muelekeo!!!!!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    ccm hamna hata aibu!!!! hadi watoto wanawajua!!! mmekwisha
  10. A

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: CCM tumeshindwa vituo vyote vya kupigia kura

    Hhahahah!!!! ngome ya CCM ishaliwa na mchwa tayari!!!! byebye!!!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe afika Polisi Makao Makuu kwa mahojiano

    polisi wanatetea tabaka tawala tuuu!!!!!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tendwa: Kwa hili la Red Brigade, Nitaifuta CHADEMA!

    huyo mzee anatingisha kibiriti!!!!!!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na mpango wake wa “Big Results Now”:Tutafanikiwa kweli kwa huu mkakati?

    hapo tunabomoa hatujengi!!!!!!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nalaani CHADEMA kutaka kutengeneza kikundi cha Kujilinda

    C C M watuelezi hiki ni nini!!!!! au kuwawekea wenzao vikwazo tuuuu!!!
Back
Top Bottom