Sudani Kusini, Somalia zaomba uanachama Jumuiya EAC

Sudani Kusini, Somalia zaomba uanachama Jumuiya EAC

Wote wajinga, mnatakiwa kujua kuvunjika kwa East Africa ni propaganada za Western Countries. Western countries hawafurahi inchi za kiafrica kuungana ili waendelee kututumia kwa manufaa yao. Mgogoro unao endelea kati ya Rwanda na Tanzania umepandikizwa na western countries kwa manufaa yao. Sie tumebaki kujisifuu ooo inchi yetu kubwa, tunautajiri kuliko Rwanda, tuna nguvu za kijeshi...wenzetu saa hizi wamekaa wanatucheka .... wanasema (Mission Accomplished).
Jamani tufunguke angalau kidogo

..nadhani tatizo hapa ni ARROGANCE ya Paul Kagame.

..mbona Tanzania tuna tatizo la mpaka na Malawi, lakini hakuna Raisi aliyefurumusha matusi dhidi ya mwenzake kama alivyofanya Raisi Kagame??

..mbona Kenya na Uganda wanagombea kisiwa cha Migingo, lakini hatujamsikia Museveni akimtukana Mwai Kibaki au Uhuru Kenyatta??
 
Kwa akili hiyo watanzania mtaishia kuzikwa katika hiyo ardhi,sasa hiyo ardhi isio tumiwa kuzalisha mali itawasaidia nini? mbaki na udongo wenu wengine waendelee kuungana.

Na wewe kwa akili yako hiyo utaishia mifupa yako kuwekwa kwenye memorials
 
EAC maana yake ni jumuiya ya nchi zinazo;
1"import" Kenya(british east africa)
2.Kutumia bandari ya Mombasa
nadhan sie tupo hapo kwenye 1
 
da sasa hawa waliopo tu ni changamoto tukiongeza hao wengine si ni ishu??
 
hiyo isiitwe jumuiya wa EA huwezi ukaiita East Africa halafu ukaicha tz nje na kuingiza nchi za central Africa. waunganishe tu nchi zao watafute jina jingine waendelee na biashara zao, sisi watz watuweke pembeni tujijue kivyetu, maraisi wanatawala nchi miaka nenda miaka rudi, kwenye nchi zao vyama vya upinzani vimekatwa miguu vimefungwa midomo, huoni chochote against govts zao kimeandikwa kwenye vyombo vyao vya habari ni kusifiwa tu, kana kwamba serikali zao ziko perfect. mikiki ya nini kwanini hawachunguzi walau maoni ya wananchi wao kabla ya kuungana...???
 
Wote wajinga, mnatakiwa kujua kuvunjika kwa East Africa ni propaganada za Western Countries. Western countries hawafurahi inchi za kiafrica kuungana ili waendelee kututumia kwa manufaa yao. Mgogoro unao endelea kati ya Rwanda na Tanzania umepandikizwa na western countries kwa manufaa yao. Sie tumebaki kujisifuu ooo inchi yetu kubwa, tunautajiri kuliko Rwanda, tuna nguvu za kijeshi...wenzetu saa hizi wamekaa wanatucheka .... wanasema (Mission Accomplished).
Jamani tufunguke angalau kidogo

Wewe ndio uko wrong kabisaaaaa...

Kama wanataka umoja uvunjike kwanini watupe msaada wa kujenga jengo la Bunge la EALA Arusha?

Western countries wanataka sana (tena pengine kuliko sisi) tuungane ili wapate soko kubwa, lakini pia hata wakati wana-negotiate trade wanakuwa 'wameua ndege watano kwa jiwe moja'.

Sio kila nuksi inaletwa na Western countries.
 
Back
Top Bottom