Kwetu-Mbagala
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 203
- 39
Utandazaji bomba la gesi toka Mnazibay-Mtwara hadi Dar umetarajiwa kuanza leo na unatarajiwa kukamilika kabla ya Sept mwaka huu.Bomba hilo linatarajiwa kuwa na urefu wa km 534 na linatarajiwa kugharimu zaidi ya dola za kimarekani bil 1.2. Source-Gazeti la Majira,26 Aug, uk 3