Recent content by Ahead

  1. Ahead

    JamiiForums Tanzania Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

    Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
  2. Ahead

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Jinsi ya kuhama benki uliyokuwa ukipokelea mshahara awali na kwenda benki nyingine,amekuuliza taratibu zipoje?
  3. Ahead

    JamiiForums Tanzania KERO Kero za Huduma Hospitali ya Misungwi Wilaya Misungwi Mkoa Mwanza

    Hiyo hospital kuna siku mtu aliandikiwa vipimo vya full blood picture kwenye karatasi kwa mwandiko wa mkono.
  4. Ahead

    JamiiForums Tanzania Siku Ukijua Kinachokutokea Usiku, Akili Yako Itaruka!

    Zaburi 91:5-6 — “Hutaogopa hofu ya usiku, wala mshale urukao mchana; wala tauni ipitayo gizani, wala uharibifu uangamizao adhuhuri.” Zaburi 121:3-4 — “Hatakuruhusu mguu wako usogee; yeye akulindaye hatasinzia. Tazama, yeye akulindaye Israeli hasinzii wala halali.” Zaburi 4:8 — “Kwa amani...
  5. Ahead

    JamiiForums Tanzania Mhubiri afukuzwa akiwa anahubiri Kariakoo, kwa madai ya kuleta usumbufu kwenye biashara

    Sawa ila neno la Mungu lazima lihubiriwe kwa hila au kwa wema,nakuhakikishia tendo alilolifanya huyo mama litamdai tu,yumkini huyo mtumishi asiwe na thawabu mbele za Mungu ila kwakuwa alipeleka neno la Mungu, somebody must be accountable for her actions.
  6. Ahead

    JamiiForums Tanzania Mhubiri afukuzwa akiwa anahubiri Kariakoo, kwa madai ya kuleta usumbufu kwenye biashara

    Namuonea huruma huyo mama,....pona yake aokoke vinginevyo kuna giza mbeleni
  7. Ahead

    JamiiForums Tanzania Baada ya maombi nimepata kazi,ashukuriwe Mungu

    Hasa Imani ya Kikristo,ikizingatiwa hapo mtoa mada ametaja jina la Yesu.
  8. Ahead

    JamiiForums Tanzania Miaka 40 sina nachomiliki zaidi ya smart phone

    Basi mnaona forty mbali wenyewe
  9. Ahead

    JamiiForums Tanzania MIXX BY YAS na misemo ya kihuni

    Sio hawa walianzisha kifurushi wakaita 'cha asubuhi '
  10. Ahead

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na uungu wa Yesu. Inakuwaje Mungu anapigwa misumari msalabani na watu aliowaumba?

    Mungu ni mmoja ila anajifunua katika nafsi tatu yaani Mungu (baba),Mungu mwana(Yesu) na Mungu Roho mtakatifu,so hapa baba ni Mungu.
Back
Top Bottom