Recent content by Agustini john

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa fani ya umeme, utawezaje kufanya biashara?

    Asante kwa ushauri zenu nita zifa nyia kazi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Unatoka zako job unakuta hivi

    Nita wapongeza na zawadi juu nawaongezea kopo nyengine za rangi kwa sababu wana ujuzi wa hali ya juu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wewe ni nani?

    why and why is not tr
  4. A

    JamiiForums Tanzania Habari anaye juwa kufuta maandishi kwenye tisheti iliyo pritiwa

    Msaada jinsi ya kufuta maandishi kwenye tisheti iliyo pritiwa inafutwaje naomba msaada wenu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu anaejua jinsi ya kutengeneza antena ya Dikoda anijuze

    Anaejuwa kutengeneza antena ya dikoda anijuze
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Jamani kuna swali lina nichanganya hawa watu isis wanafunikaga nyuso(uso) zao wamejuaje ndoo yeye???
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa fani ya umeme, utawezaje kufanya biashara?

    Kama ukisomea mambo ya umeme utawezaje kufanya biashara? Na kama ukifanya biashara utaweza kufanikiwa? Naombeni mawazo yenu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa namna ya Kutengeneza Batiki na Mishumaa

    Nitazipataje hap Dodoma
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa namna ya Kutengeneza Batiki na Mishumaa

    Minipo Dodoma mnjini
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa namna ya Kutengeneza Batiki na Mishumaa

    Minipo Dodoma mjini
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa namna ya Kutengeneza Batiki na Mishumaa

    Wakuu anayejua kutengeneza batiki or mshumaa, unahitajika uanze na mtaji wa shilingi ngapi? Nataka nianze biashara hiyo, naomba ushauri wenu!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara ninalo weza kufanya

    kama laki 2 paka tatu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara ninalo weza kufanya

    Mtaji upo lakini sijuwi jinsi ya kuanza biashara
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la biashara ninalo weza kufanya

    Naombe mawazo yenu jinsi ya kutengeneza busines plan nianzaje na biashara gani nitayo weza.
Back
Top Bottom