Nahitaji kufundishwa namna ya Kutengeneza Batiki na Mishumaa

Agustini john

Member
Aug 9, 2014
29
3
Wakuu anayejua kutengeneza batiki or mshumaa, unahitajika uanze na mtaji wa shilingi ngapi? Nataka nianze biashara hiyo, naomba ushauri wenu!
 
Sasa unaweza jua unapoweza pata hizi chemical
Petrolium wax ???
Bee wax ??
Stearic acid ????

Nasubiri jibu lako then we to second lever of learning
 
Sasa unaweza jua unapoweza pata hizi chemical
Petrolium wax ???
Bee wax ??
Stearic acid ????

Nasubiri jibu lako then we to second lever of learning

Hata mimi natafuta hizo materials, nipo Dar...
 
Fanya research kujua wapi wanauza chemikali za viwandani nd waulize kama wako nazo
 
Jamani Nipo Dar nami nataka kujua iyo business nifanyaje???

Hii sio biashara ngumu kama wegi wetu tunavyotegemea, isue iko kwenye kupata raw material, jaribu kutafuta hizi materia kwa hapo dar kuona wapi unakoweza zipata
1. Staeric acid
2. Parafin wax

Waweza enda office za sido na kuulizia
 
Kama bado hujapata Wa kukufundisha kutengeza batiki kuna dada yangu yupo hapo Dodoma naweza kukuunganisha naye cause nimtengezaji mzuri Wa batiki na kuuza.
 
Back
Top Bottom