Recent content by Agrodealer

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kazi katika ofice ya mkuu wa mkoa

    tumesoma kuondokana na ujinga ila kuna wengine wamebaki na uhinga wao.
  2. A

    JamiiForums Tanzania mabosi Wa Kihindi Ni Washenzi

    Mie nafanya nao ciwawazi wala nini mwanzo nilikua nawaogopa ila sasa nimekua nunda hata angenitukana kibangla me poa et we pay u lots of money bt u doing nothing me nawatukana hata kwa kiluga. Na uliza ni bei gani wanalipa ni full kuibiana sena shida ya ajira ndo inatupeleka huko japo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Haya ndio madudu yaliyotokea kwenye usaili tare 15.12.2012, Kinachoendelea UTUMISHI ni kiini macho

    Mambo mengine yanakera hasa ukiwa na akili timamu huwezi kuyasupport mana ni wizi mtupu.pole mwaya mdau
  4. A

    JamiiForums Tanzania Utumishi mjichunguze kuhusu uadilifu wa kazi yenu,baadhi yenu sio waaaminifu

    We are not the same BUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Utumishi wameita Interview.

    Ni kqweli kwamba kukata tamaa ni dhambi ila kwa akili yangu timamu jina limetoka kwenye watu 1077 kuna bahati kweli hapoooo! Najitoa bure bure bure kabisa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Siombi tena kazi za utumishi

    Usishangae wala usichoke wala haupo peke yako kiongoz. Mimi nimefanya interview zao sasa ni saba na sijabahatika kuingia oral hata 1 cha kushangaza kuna moja juz kati nilifanya kwa mkuu wa mkoa wa klm nilijibu vzr had nikafurah matokeo 40 hahaha nilijidharau na ndipo niliposema sitafanya tena...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wa Sekretarieti Ya Ajira Unawaambia Nini Watanzania,,,,??

    Yana kinabore kinakera kwanza unaitwa kwenye interv unaambiwa kuna timu ya simba na yanga tafsir yake ni nini? Kiyu kingine wafanye selection yao kwanza kabla ya kuwaita watu kibao tunateseka na ndo mana tunazid kuwa masikini mana hata kidogo ulichonacho ni nauli ya kufanya interv ambazo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania High quality vision research company(hqrv)

    Hahahahah umefanya vizur mana na mimi niliomba wakanitumia email na document fulani hiv ila kilichonishangaza ile mesege imeandikwa kiingereza kigumu kiasi kwamba kuna baadhi ya maneno yaninishinda halafu haiendani na messege iliyoiko kwenye document. Kingine kama ni Research company mbona...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa interview UDOM lakini sitaenda...

    mkuu kama roho imesita usipoteze mda wako parangana na kazi zako mwanawani c nakukatisha tamaa wala nini hapo udom ni pagumu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tusikatishane tamaa kuhusu sekretarieti ya ajira

    sina comment ila kilichotokea usaili wa weo kwa mikoani ni aibu tupu eti haiwezekani ma intellectual na akili zao watufanyishe interview watu zaid ya 70 wachaguliwe 5 kuingia oral na 7 watoke kwenye 98 huu ni ubabaishaji na usumbufu.wanaochaguliwa mtoto wa mkulima 1 rejesha hatufichani bana zali...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa update kwa waliofanya interview leo pale ifm

    Wadau kama mshapata taarifa yoyote tujuzane mana sisi wa mkoa tukizid kukaa hapa mjini tutakosa nauli so plz kwa mwenye taarifa.
  12. A

    JamiiForums Tanzania ushauri wa buree kwa applicants

    Hii story inavutia japo ipo kimbea ila inafundishajeeeeeee. Mi mi niliwahi kutuma application siku moja bila hata kuedit title ya kazi mf Ref. ................................ bila kubadili nikatuma hivyo hivyo baadae nikawa naperuzz ile appl nikakuta ni commed japo nilichukua, niliona aibu na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Update kwa mikoa ambayo hawajapanga tarehe ya interview ya tarehe 1-5 october

    interview ya watendaji wa kata
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Update kwa mikoa ambayo hawajapanga tarehe ya interview ya tarehe 1-5 october

    Kwa yoyote atakayepata apdate ya interview kwa mikoa kama dar klm tanga na Arusha tujuzane plz.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Afisa mtendaji mikoani

    Kwa uzoefu wangu tu hawa watu wa utumishi wakitangaza usaili huwa hawawahusishi kabisa wahusika wa pale eneo la interv ila kwa hili tunaona itakuaje wapo wengi lamda watagawana majukumu
Back
Top Bottom