Nafuga chotara Sasso 4,000
Nikusaidie taarifa kuhusu chotara;
Ratio ya majogoo kwa mitetea ni 60-40 ukibahatika, ila mara nyingi ni 65-35 (mitetea wakiwa wachache).
Mortality kwenye hao 100 weka 30. Endapo hao 70 ratio ya majogoo itaendelea kubaki hivyo hivyo basi una mitetea 28-30 tu
Utauza...
Hako kascreen kanaserve purpose ya "monitor" sio kwa ajili ya kuchekia movie au kutumika kwa lengo kuu kama hizo zingine
Kwa hiyo wewe unapendekeza hiyo monitor ikae wapi? Kwenye buti au nje karibu na mlango wa tanki la mafuta?
Mwambie tunamsubiri afikie stage ya kama wenzake halafu tutajikusanya,tutasononeka na kujichanga aende Rehab..huku tukisikitika sana kwa sababu tunajua sio yeye ni shetani tu kampitia!
Compared to other marketing strategies,how relevant is Online Marketing in relation to technological advances and awareness in Tanzania?
How significant is OM?
Tuendelee kutumia kauli za kwenye matamasha kama tool ya kupima efficiency ya viongozi..
Aisee!! Utasema nini tena,ndo basi tena akili ikishagusa ceiling.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.