Recent content by Agricola Africano

  1. A

    JamiiForums Tanzania 🚨 Mitsubishi Outlander a.k.a Kenge kwenye msafara wa Mamba

    nahitaji yakuanzia 2012_2014 kuijua kwanza zaidi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

    UKIWA NA BEI NZURI SEMA UNA QUANTITY KIASI GANI TUJE KUCHUKUA
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa Mbaazi

    ushauri wangu weka bei zilizopo sokoni hapo hapo moro kuna wateja wazuri tu iyo 2000 ni bei ambayo hata india haipo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara Tsh 10,000 nayo inatozwa kodi ukiitoa benki au ATM

    Serikali kwenye kila muamala wa benki inakata vat charges nashangaa tena wanachukua tozo inasikitisha sana kile kidogo tunachobakiwa nacho wanachukua
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Tanga mfumo wa ulipaji kodi haupo vzr nililipia ushuru wa mazao siku moja muheza na nilikuwa na document zote lakini cha ajabu kila nikifika kwenye mageti wananiomba niwape commision ya 20000 ikafika sehemu nikagoma kutoa walinisumbua njiani balaa wanahitaji kupitia mfumo wa ulipaji kodi tena na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Biashara gani ulifanya ukiwa chuoni?

    Nilikuwa block 4 social science niliuza sana nguo na stationary pia nilikuwa nauza na kufanyia watu assignment
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

    NASHERA HOTEL
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Pwani Evarist Ndikilo ndie Mkuu wa Mkoa Bora kiutendaji

    Mtaka is the best
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

    Sio kuliwa tu anafumuliwa marinda kabisa!
  10. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Diwani kata ya Kiwanja cha Ndege Morogoro, Isihaka Sengo afariki Dunia

    Mungu amlaze mahala pema alikuwa mtu mzuri sana na mtu wa watu ni pigo kubwa sana.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Biashara Tabora- Mtaji Milioni 14

    nenda mombasa katafute soko la asali hafu uje ununue tabora ukauze
Back
Top Bottom