Arsis naomba msaada wako mkuu Mimi ni mzaliwa wa bombo hospital nimekulia tanga usagara mabangi kingstone kama unapafahamu niko na mdogo wangu anaenifatia badala yangu alipata ajali ya pikipiki alipelekwa muhimbili kwa uwezo Mwenyezimungu alimbariki akapona lakini shida inakuja kauli hana kama...
Arsis uyo ibilisi Alie kataa kumsujudia Adam na akalaniwa na mwenyezimungu..kwanini alaaniwe wakati adamu walikuwepo ebu nifafanulie kitukuu chako najifunz bado
Mzee apo amemaanisha kwamba kila gari itayo pita kwenye hizo barabara italipia na hiyo hela yote atachukua uyo mwekezaji atae tengeneza hio barabara iwe miaka kumi ata mia ni sawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.