Acha kufanya biashara kizamani , Tafuta business consultant ambae ni auditor pia akuchoree control systems nzuri za kampuni yako kuanzia assets , revenue na expenses aweke mifumo ambayo inasomana na watu wanaoisimamia hata ukiwa dar unaona nini kinaendelea kwenye kampuni yako hakikisha una...
Mpigie simu jamaa mwambie ukweli sisi ni wanaume unavyoendelea kumkimbia siku atakuja kukunasa atakufanya mbaya . we mchane ulikuwa hujui kama dem kaolewa na hajakwambia tena ili aone upo serious tafuta watu wazima wawili nenda kaongee nae msuluhishe kwa amani . maisha ya kuwindana sio poa
Jiandae kwa kilio kikubwa zaidi na usisahau kuna wakati mzigo ulichomoka akaushika akaurudishia. wanaume hautuendeleagi na mwanamke aliekusaliti hata angekuja papa wa roma kukushauri jambo jema kwako ilikuwa kuachana nae
Mnyika anaitwa kutoa maelezo ya namna gani wakati hakuwepo kwenye tukio?? yan wasiitwe mashahidi waliokuwepo kweny tukio alafu anaitwa mnyika . una akili kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.