Recent content by agoma

  1. agoma

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za afya

    Ni cha mkono ndugu yangu.
  2. agoma

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za afya

    HABARI, AFYA NI UTAJIRI. ETERNAL INTERNATIONAL LTD Ni kliniki inayojishughulisha na masuala ya AFYA ya binadamu,ikishughulika zaidi na magonjwa sugu na kuboresha kinga ya mwili. Pia tunatoa huduma ya upimaji ( Check- up) ya mwili mzima kwa sh 10000/=. Pia tunatoa huduma ya mashine kwa...
  3. agoma

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2017?

    Ndugu shukrani sana kuna kitu nami nimepata hasa hapo ulipo nifanye usomaji kama hobby ili nisiposoma hata siku moja nione kuna kitu nimemiss. Mwaka 2017 nilipanga nisome vitabu kumi tu lakini nimeishia kusoma vitabu sita,kwa huu ushauri wako ninaufanyia kazi kuanzia sasa ili mwaka huu 2018...
  4. agoma

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2017?

    Ndugu kama hutojali naomba kujua spidi ya usomaji wako na ratiba yako ya usomaji pia. Naweza nami nikaambulia kitu.
  5. agoma

    JamiiForums Tanzania Afya ni uhai

    ETERNAL INTERNATIONAL LTD ETERNAL: Ni kampuni kutoka nchini China inayojishughulisha na masuala ya AFYA ya binadamu,ikishughulika zaidi na magonjwa sugu na kuboresha kinga ya mwili. Pia tunatoa huduma ya upimaji ( Check- up) ya mwili mzima kwa sh 10000/=. Pia tunatoa matibabu ya dawa zenye...
  6. agoma

    JamiiForums Tanzania RICH DAD POOR DAD: Nimemaliza kusoma kitabu hiki, nisome kipi kingine?

    Samahani ndugu unavyo katika mfumo wa softcopy unirushie kwenye email ndugu yangu.
  7. agoma

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu akana Habari ya Kutungwa na Uzushi iliyoripotiwa kwenye Group la WhatsApp

    Hahahahaha yaaani inaonekana kabisa ni fake
  8. agoma

    JamiiForums Tanzania Moto waendelea kuwaka CCM

    Duh!
  9. agoma

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Hoja yako ni zuri sana
  10. agoma

    JamiiForums Tanzania Simulizi za the Bold

    Ukiishapata jina la website yake naomba na mimi uni pm ndugu yangu.
  11. agoma

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea ripoti za Bunge kuhusu Almasi na Tanzanite, awataka wateule wote waliotajwa wakae pembeni

    Ndiyo maana hawa wazungu wanaofanya mazungumzo ya dhahabu walianza 14 sasa wameongezeka hadi 25. Wanaenda wanarudi lakini sisi watu wetu ni walewale. Big up Mr.President.
  12. agoma

    JamiiForums Tanzania Changamkia hii fursa nzuri ya uwekezaji

    Tafuta kitabu cha Robert Kiyosaki kinachoitwa The business of th 21 Century kitakusaidia sana kwenye hiyo biashara yako
  13. agoma

    JamiiForums Tanzania Feza ada mil9, Mzumbe, Kibaha, Kisimiri 0 ada ila wote top 10

    Wanaosoma hizo shule zenye ada kubwa wengi sana tena sana hutowakuta wanailalamikia serikali kuhusu masuala ya ajira,wana connection nyingi sana za kuwafanya wasisote mitaani.
  14. agoma

    JamiiForums Tanzania Saba Saba ni kama imepwaya!

    Halafu wanasema maonesho hahahahahaha
Back
Top Bottom