Kwa hoja zako zilivyo unaonekana hujui ushindani. Maana hoja zako naona ni kuiponda PSPF maana thread zako zinajionyesha.
Huo ni ushamba.
Umejiunga JF tarehe 1 Dec. 2016. Umeanzisha thread tano (5) tatu kati ya hizo zinahusu PSPF.
Mbili kati ya hizo unafanya comparison PSPF vs LAPF. Ni...
Pia hoja nyepesi kama hizi si za kuleta kwenye hili jukwaa.
Hili ni jukwaa la siasa. Peleka hoja yako hii iliyokaa kishilawadu kwenye jukwaa la umbea kule utaeleweka ila sio hapa. Pia uwe na valid evidence ya findings zako.
Mtoa mada haujawa specific wewe huo utafiti uliufanya lini ukagundua kuwa PSPF ina wafanyakazi incompetent? Maana umetaja mikoa bora hata ungetaja mkoa mmoja hoja yako ingekuwa na mashiko.
Achana na hoja nyepesi kama hizo.
Lakini pia kama ni hoja za ushindani, ni ushindani wa kijinga you can...
Hawa LAPF mwaka jana walikuwa wanaadhimisha miaka 70 toka kuanzishwa kwake. ukiangalia ukongwe wake na position yao kisekta hawakupaswa kudanganya umma, maana miaka 70 si haba ni umri wa mtu anayesubiri siku zake za mwisho wa uhai wake :lol::lol::lol::lol:
Kirefu chake ni Social Security Regulatory Authority yaani Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii nchini.
Nimeamua nikupe kwanza jibu ndo nikunange, inamaana umeshindwa hata ku-google upate kirefu chake na kazi zake?????!!!!!!!!!!!!!
Ndio maana sasa hata matangazo...
Mwakajila, Nadhani wewe ni staff wa pspf kama ni sahihi nijibu. Kuhusu huyu Mtoa mada anayejiita kassim awadh huyu atakuwa ni pandikizi na mapandikizi ni wengi humu ambao wanatumwa kuichafua pspf. Mimi ni mwanachama pspf, ninae mdogo wangu ambaye yuko chuo fulani hapa nchini kuna mfuko mmoja...
Vichwa vya panzi utawajua, hivi unaposema sema kuwa Mfuko/Taasisi fulani imekufa kwa sababu inadai. Hivi kwa akili ya kawaida anayefilisika ni yule anayedai au mdaiwa. Kwa uelewa wangu serikali yetu inadaiwa sana. Ndo maana deni la taifa ni zaidi ya trillion 20 na la pspf ikiwa ni sehemu ya...
Kigezo si kiwango cha mshahara, hebu Soma tangazo lote kama lilivyo kwenye hili bandiko au kwenye website yao Mbona ni conditions zinazoeleweka. Hebu tusiwe wavivu kusoma.
Ama kweli ukitaka kumpoteza mtanzania mpe kitu chenye maandishi mengi maana humo ndo kuna majibu yote ila still atakuja...
Hivi jana mliona Giggs alivyo wajengea morali wachezaji wake? Jamaa walikuwa wanashambulia balaa...!! Nadhani Moyes alipo ana hasira na Giggs na wachezaji waliokua wamemwekea mgomo baridi basi tu afukuzwe.
Acha kupotosha wewe Mbona CAG alikanusha kuwa waandishi walimquote vibaya kama hufatilii habari mimi huwa nafatilia sana. Kasome gazeti la Tarehe 19/05/2013 Daily News hilo hilo. Hata hivyo sasa naamini kuwa Baadhi ya Mifuko inatumia strategy za makusudi kuchafua mifuko mingine kama ngazi ya wao...
Pandian, pole kwa kuwa katika mfuko ambao ni debe tupu. Maana debe tupu ndo hupiga kelele.
Hao jamaa wa mfuko wako wanaona kibanzi ndani ya jicho la mwenzao huku wakisahau kuwa wao wana boriti. Kata rufaa SSRA uje tuungane huku pspf.
Kumbe jamaa hawana lolote ila wanachojaribu kufanya ni...
Nimepitia annual report ya pspf ya June 2014 ambayo iko kwenye website yao na kuona kuwa jamaa wamekuwa kwa kasi leaning miaka sasa wana net asset (thamani ya Mfuko) ya Tshs trillion 1.251 ukilinganisha na report yao ya June 2000 walikuwa na Tshs 36 billion. Kwa mujibu wa report hii ya June 2013...
Historia yako ya sekta ya hifadhi ya jamii naitilia shaka hakuna mfuko ulioanza mwaka1994.
Pia kama pspf imeanzishwa hivi Karibuni yaani mwaka 1999 na sasa hivi unaipiku mifuko mingine ya hifadhi ya jamii iliyoanzishwa zaidi ya nusu karne ilikuwa wapi kukua miaka hiyo yote????!!!!
Pspf kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.