Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Naona madirisha ya vioo kwenye nyumba zenyewe hizo, je na umeme ni waPSPF au tutemegee huu huu wa Badra Masudi?
Kwa 25m hakyanani nafyatua kanyumba km hako ka vyumba vi3, huu mpango sio wa kuuita GHARAMA NAFUU wallah vile
Kwa 25m hakyanani nafyatua kanyumba km hako ka vyumba vi3, huu mpango sio wa kuuita GHARAMA NAFUU wallah vile