Mwanafunzi aliyeuwawa alikua ndani ya nyumba kalala kwa hofu. Yule kijana wa kiume aliyeuwawa alikua "mchoma nyimbo kwenye kompyuta". Unajua maisha ya usukumani, jana ilikua siku ya mnada hapa Lulembela. Binafsi, nimepoteza ng'ombe wangu. Baa zilifungwa, mnada ulivurugwa. Nasikia hata std 7...
F ya Basic Math ya 4m4 bado unatembea nayo ktk maisha yako yote.
Soma, tafuta wasadi wakusaidie. Uache kupayuka.
40% p.a na 17% p.a. kuna tofauti kubwa.
Huoni ratio 2:1? Yaani hiyo 17M uliyochukua Bank ukaambiwa urudishe 25M.. ingekua hizo taasis zako ungeambiwa urejeshe 50M. Muda(miaka)...
Piga kelele! Lia.
Msukuma ni mbunge pendwa kwa Mkoa wa Geita. Akiamua kugombea Chato, Busanda au Mbogwe anashinda tu.
Biteko pia ni mbunge pendwa kwa mkoa.
Msukuma anabadili magari ya kutembelea (pesa anayo). Lakini kavijali vituo vyake vya afya (kavipatia vyombo vya usafiri). Unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.