Hi guys
Hivi karibuni tulikua tunasuluhisha mgogoro wa ndoa wa family friend ambapo niliombwa na kikao kuongea na mwanamke aniambie shida ni nn hasa maana amekua akimsumbua mumewe kwa uzinzi
Sasa kwenye jamii kuna tatizo, wanawake tumeingia kwenye mashindano na wanaume ya mbio za uzinzi...
Weekend hii iliyokwisha mamia ya wananchi wa iran waliingia barabarani kushangilia kuondolewa vikwazo dhidi ya nchi yao, hata hivyo furaha hiyo haikuzidi ya viongozi wao
Hassan rouhan kiongozi wa iran, akihutubia baraza la uongozi alisema, iran ina furaha isiyo mfano kuondolewa vikwazo vya...
Hi guys
I hope all of u r k
Wamarekani walipomchagua obama walifanya uamuzi wa hasira kutokana na kuchoshwa na vita vya iraq na Afghanistan, hata hivyo kuna baadhi walitoa angalizo kuwa obama hana uzoefu wa uongozi hasa foreign policy
sasa majibu yamepatikana kuwa ni kweli hakua na uzoefu, na...
Hi guys,
Happy new year,
I hope all of u r ok.
Nipo hapa ku apologise kwa maneno ambayo hamkupendezwa nayo ktk mrejesho wangu, I didn't mean to offend anyone, neshwa na wording ktk maandishi yangu so I do apologise.
Hata hivyo nimepata kujifunza kitu kutoka kwenu, kuwa kumbe raia wengi wana...
Marekani inatengeneza s_400? Hivi watoto wa jf mnakua waongo kiasi hiki? Hata pro Russia wenzio watakucheka wakisikia
Acha nikusaidie, Russia ndio nchi pekee duniani inatengeneza system hiyo, haijawahi kutumika popote ktk vita, hivyo uwezo wake bado ni debatable,
Wachambuzi huru wa duru za...
Nisome mitandao ya vichochoroni ya kazi gani? Zipo international media ambazo ni credible, siwezi kusoma Wikipedia ambapo kila msomaji anaweza kubandika taarifa yake hapo
Mnapika data kufanikisha malengo ya kubishana, hadi sasa kuna media kama hizo unazotaka nisome zinadai osama hakufa bado...
Wewe ndie uache uongo, taarifa hizi zimethibitishwa na syria iliyotoa malalamiko rasmi UN, na Hezbollah pia ili confirm, kantar alishambuliwa na smart bombs yalidondoshwa na f_15
Kombora ndio zinarushwa kutoka ardhini na sio smart bombs, kati ya syria na wewe tumuamini nani? Wewe?
Au kati ya...
We need facts my friend
Mbona mnajichanganya wenyewe?
Kununua silaha za kisasa kutoka.usa sio ishu? What are you talking about?
Mataifa mengi duniani ya dunia ya pili ambayo chumi zake zinakua kwa kasi yanapigana vikumbu ku acquire silaha kutoka marekani ambazo ni bei ghali sana, sisi dunia ya...
Yap naikumbuka ilikua na nguvu sana, lakini bahati mbaya marekani ilitumia mashirika ya kijasusi kuihujumu na hatimaye kusambaratika
Hata vita urusi ilizoshinda huko nyuma ilikua ni ussr na.Russia pekee kama ilivyo leo nguvu ilipungua sana ndio anajaribu kujijenga tena kutafuta washirika na...
Huwezi kukuta taarifa kama hii kwenye cctv, Russia today, aljazeera, france24, bbc, press tv iran, siku watu wa jf mkipata taarifa kutoka walau hata Russia today basi nitawaelewa maana nina uhakika vyombo vyote hivi nilivyoorodhesha havitoa taarifa ambayo haijathibitishwa na wizara ya ulinzi ya...
Ninawaonya kila siku hamsikii, nitashukuru ukituletea taarifa kutoka chombo kama russia today, tv hii inaheshimika sana urusi, huwezi kukuta pumba hizi kwenye hii media house, ulichokileta vitu vya kuokota mitandaoni vinavyoandikwa na waandishi biased
Hi
Jana nilipoleta uzi huu wengi mliandika utumbo, najua uliwagusa pabaya, hata hivyo sikuwajibu kwa kuwa nilikua busy nafunga hesabu za kampuni za mwisho wa mwaka, hata hivyo huwa naingia jf asubuhi tu kabla sijaanza kazi hadi kesho tena asubuhi, so baada ya kukuta hizi pumba nimeona nizijibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.