agathe jean claudia
Member
- Dec 29, 2015
- 18
- 41
Hi
Jana nilipoleta uzi huu wengi mliandika utumbo, najua uliwagusa pabaya, hata hivyo sikuwajibu kwa kuwa nilikua busy nafunga hesabu za kampuni za mwisho wa mwaka, hata hivyo huwa naingia jf asubuhi tu kabla sijaanza kazi hadi kesho tena asubuhi, so baada ya kukuta hizi pumba nimeona nizijibu
Wapo waliodai kupeana namba ni kitu cha kawaida, hii sio kweli, mbona hizo namba hamuwaombi wanaume wenzenu? Umewahi kuingia kwenye dala dala ukamkuta mwanaume mwenzio kwenye kiti halaf baada ya salaam ukaomba namba? Kama ufanyavyo kwa wanawake? Thubutu!! Kama jamaa hajakuona si rizki sijui
So waomba namba asilimia tisini na tisa huishia kutongoza, ni wachache sana atakuomba namba halaf asiendelee na mambo hayo
In fact mm natumia gari binafsi, hii haina maana kuwa sipaswi kuzungumzia usumbufu huu kwa ujumla, nimetaja dala dala kama mfano tu, lakini ni maeneo mengi sana, juzi nimempa lift mwana jumuia mwenzangu mtaani, hatufahamiani kiviile, cha kushangaza wakati anashuka posta akaomba namba ya simu, mbona kwenye jumuia yetu hajawahi kuniomba hiyo namba? Huu ni ugonjwa mbaya sana,
Watu tupo busy na utafutaji ww unahangaika kuomba omba namba za wanawake as if huna cha kufanya, I condem this behavior in the strongest terms possible
I how I met my hubby
Tulikua tukisafiri dar to nairobi kila mara kikazi huku hatujuani, ila tulishangaa tu kila mara tunagongana ndani ya kenya airways wakati mwingine tunakaa kiti kimoja, zaidi ya mara kumi bila kuombana namba ktk vipindi tofauti ndani ya miaka 3 hadi tuliporidhika wote kuwa hapa sasa ni muhimu tupeane namba, hadi sasa ni mume wangu
Mapenzi huwa yanakuja automatically tu, omba namba kama kweli unahiitaji in business terms, tuwasiliane professionally, kama kuna lolote la ziada litajitokeza tu
Wengine mliona nina dharau niliposeama ""mtu mwenyewe anaeomba namba kachoooka""
Sibadilishi kauli, ukweli ni kuwa lazima uangalie type zako unapoomba namba, kuna classes kwenye maisha, know ur class
Miliosoma nchi za magharibi mnailewa vizuri hii kanuni,
Sasa naomba muelewe tunapokuja kujichanganya na nyinyi huko kwenye shughuli za kijamii haina maana tupo class moja, bali tunataka ushirikiano tu
Mercy