Recent content by agapetc

  1. A

    JamiiForums Tanzania UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    hii nchi imewashinda kuongoza hawa ndugu zeu wa kijani.lema hayo maneno yana akili
  2. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mafisadi waichanganya CCM;Kasi ya CHADEMA kisiasa mwiba, vijisenti vya mafisadi vurugu tupu

    tatizo sio watu ktk ccm ila ni system,hata akiingia yeyote hali ileile tu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

    hapo amekoseaaisee
  4. A

    JamiiForums Tanzania nini tofauti kati ya Mkoba na Ulimboka ??

    majina pia ni tofauti
  5. A

    JamiiForums Tanzania Chaguzi ndogo ni mwiba Mtibwa

    kulikoni kwani?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Haki anatoa MUNGU PEKE YAKE
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: DC wa Korogwe na kampeni ya kufundisha

    nimependa ushaurii wako
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, walimu wa Halmashauri za Mji na Wilaya ya Korogwe wamegoma kwenda shule kwa kuunga mkono viongozi wao walioutangaza. Shule nyingi zimeonekana walimu wakuu na wakuu wa shule tu ndiyo waliohudhuria maofisini, pia imebainika kuwa walimu wa sekondari wanaongoza kwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

    wanajeshi kama kawa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mwongozo kusitisha shughuli zote za Bunge kujadili Mgomo wa waalim 30/07/2012

    kweli ngoja tuone
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati na Madini ajiwekea kitanzi shingoni...

    unadhani kwa system ya nchi yetu anaweza akafurukuta?isije ikawa ni kama kijiko cha sukari baharini
  12. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati na Madini ajiwekea kitanzi shingoni...

    huo ndo mgao?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Maige aichana serikali ya JK

    walewale tu hana jipya
  14. A

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati na Madini ajiwekea kitanzi shingoni...

    kutokana na kauli yake bungeni kuwa kukatika kwa umeme itakuwa ni historia katika nchi hii wale mafisadi walioshika mpini wanajipanga kuhakikisha mgao unakuwepo ili kauli yake imfunge.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    Waziri huyu anaonekana jasiri na anaye hitaji ushirikiano wa dhati ili tufikie malengo.mtu wa namna hii anapaswa kupewa ushirikiano na kupongezwa.kuhusu Rwakatare hapa naona kuna aibu kubwa.
Back
Top Bottom