Nilijua namuelezea mtu anaetaka kuelewa kumbe ni mtu ambae hataki kabisa kuelewa!!
Anyway uchaguzi ni wako, umepewa huo uhuru tumika uwezavyo, dhihaki kadri uwezavyo, tukana uwezavyo, kufuru uwezavyo, tetea dhambi na uasi uwezavyo..
Lakini katu huwezi kumfanya Mungu anaeishi awe mfu, God is...