Recent content by agala

  1. agala

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya atinga Mwananyamala hospitali

    Waziri wa Afya aliyeteuliwa na JPM, leo atinga Hospitali ya Mwananyamala
  2. agala

    JamiiForums Tanzania Laini ya TigoPesa nauza Nitafute

    Nauza laini ya TigoPesa bei laki 3, kama unataka nicheck kwa hii namba 0654544589.
  3. agala

    JamiiForums Tanzania Pesa ya Mdhamana!!

    Hivi ile pesa wa mdhaamana huwa inarudi au kurudishwa kama mshatikiwa akishinda kesi??
  4. agala

    JamiiForums Tanzania Shinda elfu kumi (10,000) na gushit page

    Jishindie elfu kumi(10,000) kwa wale wote ambao hawajawahi kushinda shindano lolote ambalo lishawahi kufanyika... Unachotakiwa kufanya click www.facebook.com/yaKitzKwaWaTz kisha like page yetu ndipo utaweza kushiriki. Utakuta shindano linasema hivi kama nilivyoelezea hapa chini... hadi sasa...
  5. agala

    JamiiForums Tanzania Utambulisho na Ukaribisho katika FB GUSHIT PAGE - yakiTZ kwa waTZ

    madhumuni yake yako wazi kabisa na kama umejaribu kutembelea page yetu utaona madhuni mengi ila machache tumejaribu kuyaelezea kwenye hii post. thanks
  6. agala

    JamiiForums Tanzania Utambulisho na Ukaribisho katika FB GUSHIT PAGE - yakiTZ kwa waTZ

    yaah wengi wanatamka kama jina lilivyo lakini sio hivyo na ndio maana wewe ukaliita bullshit lakini linatamkwa "gashit" na sio gushiti... sio wewe wakwanza kutamka hivyo niwengi tuu..... thanks lakini@karucee
  7. agala

    JamiiForums Tanzania Utambulisho na Ukaribisho katika FB GUSHIT PAGE - yakiTZ kwa waTZ

    Hii ni ya Tanzania hapahapa na wamiliki ni Jigambe Technologies LTD sasa wewe jiunge tuu kwenye hyo page yetu ilikupata vitu kemkem kama nilivyo viorodhesha kwenye post juu hapo thanks kwa kutusifia!!
  8. agala

    JamiiForums Tanzania Utambulisho na Ukaribisho katika FB GUSHIT PAGE - yakiTZ kwa waTZ

    Ni page inayoelimisha, ambayo chanzo chake ni tovuti inayofanya uchambuzi wa habari kwa njia ya mtandao ijulikanayo kama www.gushit.com. Kwahiyo ndani ya page hiyo utapata uchambuzi wa habari kutoka kwenye tovuti hiyo, utapata elimu za kijamii ya mambo mbalimbali, itakufanya siku yako iwe ya...
  9. agala

    JamiiForums Tanzania Request for Public Comments by a Tanzanian Web Startup in African News Innovation Challenge

    I think "GUSHIT" is an innovative and powerful concept that explores the role of media in bringing about change in E-JOUNALIST. Know am one of your supporter. Day one to visit Gushit---yakiTz kwa waTz | Recently Updated Activities i wondered a thing that was my thought some day to be done...
  10. agala

    JamiiForums Tanzania Free internet&sms sim card

    Pouwa tumekupata kaka tutaicheck but it will be better for more exposure ungewacheck hawa jamaa wa jigambeads.com na ujisajili ili utangaze zaidi
  11. agala

    JamiiForums Tanzania NewER LOGGER please Accept him

    thanks all my fans,am feel gud for your responds.
  12. agala

    JamiiForums Tanzania NewER LOGGER please Accept him

    Member mpya ndani jf,am self entrepreneur jf member naomba support yenu kama wanaukoo wa jamii forum Am system developer at jigambe technologies co ltd and i run these online technologies system visit them and if better you can use them which are jigambeads.com and jigambe.com
  13. agala

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo tanzania ya sasa, na tz tuitakayo

    mi naomba watu waitumie hiyo system unayoitangaza kama itakuwanzuri kama unvyoisifia.
  14. agala

    JamiiForums Tanzania Hii hapa mpya, kazi bila CV, na INTERVIEW kuwezekana.

    hebu tueleweshe hapo!
  15. agala

    JamiiForums Tanzania USHAURI: kwa WAAJIRIWA WENZANGU....NI VIZURI UKAFUATWA.

    Life knowledge bure: Nchi yetu inatufundisha tuajiriwe na siyo kujiajiri kutokana na mfumo wetu ulivyo kaa sasa tujaribu kupitia katika taratibu hii maliza elimu yako ajiriwa kisha jiajiri baada ya kupata mtaji halafu ajiri ili tupunguze tatizo la ajiri kwa wahitimu wetu lakini unaposema...
Back
Top Bottom