Najaribu kuapply chuo kupitia nacte but nikiingiza Reg. number ya diploma inaniandikia data base not found....plse naomba wenye kujua tatizo wanisaidie
mpango huu ni vema ungeanza kwa wanaomaliza mwakani kwani kwa kufanya ivo kutawafanya wajitahidi uko shuleni lakini kwa kuwahukumu watu wakati teari walishafanya mitihani ni kama kuwaonea.....mbona mabadiliko ya sheria za uchaguzi hufanywa kabla ya kupiga kula iweje mabadiliko ya mitaala...
Apo umenena mkuu watu wengi ni wanafki saana afu wanajifanya wameshika dini ndo maana sisi wngne wanatuweka njia panda kwanza hayo maarabu yana roho mby sana tangu enzi za utumwa halafu yanatuambia tuffuate dini
jamani nimeguswa na thread hii.....ata mimi nasumbuliwa sana juu ya imani hizi kwani nafsi yangu inapata shida kuamini kuhusu hizi dini pia naomba mwongozo juu ya uislamu ili nijue hatma ya imani yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.