Habari za mida huu, mapambano ha Corona yanaendeleaje huko?
Narudi kwenye point ya msingi hapa, nimekuja kugundua kuwa watu wengi wenye uwezo kidogo wa kujipatia mahitaji ya kila siku basi kwa namna moja au nyingine ni rahisi sana kusahau kwamba kuna watu wenye uhitaji wapo sehemu hivyo huwa na...
Mimi sina ya kuongeza sana hapa ili hii inaonekana inafaa sana. Nakuwekea video hii usikilize mwalimu huyu wa mazoezi akiongea kuhusu mazoezi anayoyafundisha.
Huu mtiti unaonekana sio mdogo.
Wanapatikana Maga Beach & Mwalimu anaitwa Shija.
Angalia kuanza dakika ya 14 hadi ya 24
Habari wakuu,
Humu JamiiForums kuna mada nyingi sana zinazowazungumzia Single Mothers kwa mitazamo tofauti tofauti na nyingine ni za muda mrefu sana huku mpya nazo zikiendelea kuja.
Uzi huu utakuwa maalumu kwa mada zote bila kujali upande/mtazamo ambao mwanzisha mada alikukuwa (Hasi au...
Mkuu umeandika vyema sana. Nadhani wasanii wa hapa Bongo wamesahau kama muziki wao unathamani, na hili si kwa watu walio kwenye muziki tu bali hata sanaa nyingine za hapa Bongo.
Hawathamini kazi zao, wamekuwa ni watu wa kununuliwa tu na kujikomba kwa wanasiasa (Huwasia hao zaidi). Leo unamwona...
Naam kupanga au kutopanga isikuumize kichwa. Kuna wanaokaa kwao na hawana tabia nzuri. Hivyo hivyo waliopanga. Sasa wewe fanya uchunguzi kwenye maswala mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.