idea nzuri ,mimi pia nafikiria niweke hata mil 10-15 kwenye biashara ya spea ,lakini nataka nifanye jumla mkuu,pa kuanzia ndio nafikiria ,niwe winga wa spea kariakoo huku nia mtaji(siwezi afford fremu kariakoo) au nifungue gori mtaani alafu niwe natuma mkoani .pia nafikiria ikiwezekana ni deal...
Godfrey Calvin magila huyu bwana mdogo kaja juu kwenye ICT and infomation security ,kampuni yake naona imefanya hizuri hadi kumiliki hisa za bilioni 70 .
Hasa hii ndio hoja ya profesa Assad , kweli ni mambo madogo hapo yanayoongelewa asilimia kubwa ni wabunge kulalamika ,bila kujadili kwa kina
Labda waongeze viwango vya kuwa mbunge na mtu awe na background ya vitu muhimu na wafanyiwe interview ya chama na tume😊
alipata kupinga mahakamani na mahakama ikasema anahoja za msingi ,ila alienunua aendelee kuendeleza ,kama kuna madai yatafunguliwa na bank,kuna mdau kaelezea ,pia mkopo alidhamini sio kwamba alikopa yeye.
Na oilcom si walikuwa na mgogoro na Oryx energies ,kuna mdau huko mtandaoni kasema labda usuluhishi wa mgogoro umepelekea hii
https://www.jamiiforums.com/threads/mvutano-wa-kisheria-kati-ya-oilcom-tanzania-na-oryx-energies-wafichua-changamoto-katika-mfumo-wa-usuluhishi-tanzania.2279514/
kwamimi naona hakuna ukweli,ingekuwa iran inataka kuwahadaa israel basi isingemuonesha hadharani kabisa ,ukizingatia ni kiongozi mkubwa iran
pia picha ingekuwa viral mitandao ya kimataifa nnje ya facebook ambapo ndio imesambaa
Issue sio dini,
Wote tuna abudu Mungu, Sasa ikipigwa nyimbo ya kikristo au ikipigwa hadithi za Quran sio issue ilinradi zinatoa mafunzo
Tubapishana padogo tu
Kuna jamaa alinisanua series moja Al Jazeera ya
THE GOLD MAFIA ,
Jinsi ya Zimbabwe diplomats wanavotakatisha pesa ,ila haisiani na huyo
The laundry machine ,Gold smagling series
Cheki YouTube
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.