Mungu ibarik
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,395
- 11,580
- Thread starter
- #81
πππππππππNaelewa,Na inashangaza sana?Hapa Ndipo Unaelewa kwamba Utajiri Unapatikana kwa njia ngumu sana.
πππππππππNaelewa,Na inashangaza sana?Hapa Ndipo Unaelewa kwamba Utajiri Unapatikana kwa njia ngumu sana.
πtrueKiwandani kibarua unamlipa 7,000/= kwa siku ili akutengenezee 500,000 kwa siku.
Unauza litre ngapi Kwa siku na je unawezo wakuhifadhi litre kwenye kituo chako Cha mafuta?.Mm nataka kufahamu namna ya kupata mafuta Kwa mtu mwenywe kituo kidogo Cha mafuta
Huwezi kupata zaidi ya tripi 4 Kwa mwezi.Viko very controllable .... Drivers wanaojitambua wako wengi pia , wanajua kwanini kapata kazi na Nini afanye kwenye kazi
Huwezi kusafurisha zaidi ya trip 4 Kwa mwezi.Mkuu, nakushukuru sana, ngoja tuanze michakato ya kufanya kitu ju ya hili jambo. Kumbe fursa zipo aise.
Utaratibu wakupakia kwenye depot umekaa vipi?. Na Je depot huanza na litre ngapi kuuza Kwa wenye tank?. Na vipi Kwa week unaweza pakia trip ngapi kwenye depot?.Mm nimdau kwenye hii industry kama unaitaji taarifa yyte pia c mbaya tukachekiana.
Mkuu bei Zak both uwa zipojeKusafirisa au kununua?
Mkuu Naomba unisaidie, vip kuhusu now 2026 bei ya kupaikia apo depot imepanda au ni bado Ile Ile shilingi mia na?Kiwandani kibarua unamlipa 7,000/= kwa siku ili akutengenezee 500,000 kwa siku.
Ndio ubapari wenyeweMkuu Naomba unisaidie, vip kuhusu now 2026 bei ya kupaikia apo depot imepanda au ni bado Ile Ile shilingi mia na?