Recent content by Africa_bundilya

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Canada hawatoi VISA siku hizi au tatizo ni nini?

    Kama aliende kwa sababu mama yake alienda kusoma masters alipaswa kurudi baada ya mama yake kumaliza masomo sasa yeye ali overstay hivyo lazima wamnyime na hawatampa tena visa ya US
  2. A

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla: Tunakusudia kugeuza ziwa Burigi kuwa eneo la Utalii wa picha badala ya Uwindaji

    Hili lipo katikati ya Karagwe na Ngara poli la kimisi kandokando ya boda ya Tanzania na Rwanda very nice view ila sijui kama kuna wanyama pale.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya bongo movie..

    heheheeee kazi kuonyesha mapaja manono!!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la uume mdogo na kushindwa kusimamisha

    Kibamia halafu hakisimami du! utakuwa ulikuwa unapiga sana punyeto[emoji23][emoji23]
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mazoezi ya Mandata niliyoyaona Oysterbay nashauri Kesho timizeni haki yenu muondoke

    Hakuna mazoezi wala silaha zinaweza kushinda nguvu ya umma kwani sauti ya wengi ni sauti ya mungu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Kinondoni Ukiendelea kutumika itakugharimu

    Dhuluma ikizidi sana inatengeneza hatari kubwa! ila ni suala la muda tu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Inasikitisha kuona baadhi ya watanzania wenzetu kwa sababu ya kisiasa wanashabikia au kushangilia kifo cha watz wengine kwa sababu za kisiasa Tanzania tinayohiharibu leo ndio tutawaachia watoto wetu bila kujali ww kama mzazi ulikuwa upande gani, yanayotokea uarabuni watu wanajilipua na mabomu ni...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Tanzania ya mfano kisiwa cha amani inapotea kwa kasi dah! hakuna wakati wowote sisi kama nchi tume stoop that low dah sijui tunaelekea wapi tumepoteza mwelekeo! why mbona haya mambo madogo jimbo moja au mawili hayabadilishi kitu chochote tunapandikiza chuki mbaya sana itatugharimu sana hapo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Shamba la Sumaye huko Mabwepande limekabidhiwa manispaa ya Kinondoni ligawanywe kwa wananchi

    Bado la boss wa gazeti tunasubiri kwa hamu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge mstaafu, Abdul Mteketa alia mtandaoni akiomba msaada wa matibabu kutoka kwa Rais Magufuli

    Haya ni maisha tu mzee amepigania afya yake for 2yrs bila kufanya kazi yoyote mpaka ameuza nyumba yake mbezi beach hao mapedeshee wenzake wamesaidia sana mpaka wamechoka imefika mahali kama binadamu anahitaji msaada tisimuhukumu kwa makosa yake y nyuma tumsaidie tu hapo alipo anajuta sana lakina...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

    Kawaida kwenye hali ya namna hii ambako hakuna mzunguko wa pesa huwa tuna angalia biashara zinazogusa mahitaji ya lazima kama vile makazi, magadhi na chakula tunaweza kusubiri hali hii ipite labda 2025 kwa kupunguza manunuzi ya mvavazi na kuachana na ujenzi lakini hatuwezi kuacha kula kwani tuta...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Swali: Diamond Platnumz na Wema wanafanya nini mjini?

    Kwa wao kufanya biaahara za namna hiyo zilizotakiwa zifanywe na watu wa kawaida na wao wakatumika kuzi promote wakiwa kama mabalozi ni ukosefu ubunifu kwenye biashara na ushauri wa watu wenye ujuzi na utalaamu kwenye uwekezaji if they he worth 8bn angeweza kuwekeza kwenye fursa nyingi ambazo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

    Hii ni medical problem especially kwa wale wanawake ambao mwanaume anamcheze vya kutosha ikiwamo kwenda chumvini ikiwa pamoja na mwanamke kuweka hisia zake kwenye game lakini hawaloi, sasa hapo ndio unatakiwa utumie jelly kama KY ndio muelewe hayo mafuta sio kazi yake ni kufiria ni lubricant kwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Siku moja baada ya kuolewa, bibi harusi akimbia ndoa

    Sheria ya ndoa inaruhusu mtoto wa umri wa 14 kuolewa kwa idhini ya wazazi wake. kwa sasa pia linAngaliw suala la kam hakatishwi masomo
Back
Top Bottom