Ulielewa Lisu alivyosema na wakati gani?
Iruhusu akili yako ichanganue mambo usiwe mtumwa wa kukaririshwa mambo.
Pengine nikusaidie kwa ufupi alichokisema Lieu"mpaka sasa hivi uchaguzi unaenda vizuri katika kituo hiki nilichopigia kura, na hata jimbo langu hatujapata malalamiko"
Note, 'hadi sasa...
Kwani ikitokea simba akajisemea mimi nataka kucheza kombe la shirikisho sitaki klabu bingwa atalazimishwa itakuwaje japo ni ngumu kuacha kushiki kombe la mabingwa ukacheza shirikisho??
Pia msiwe na wasi wasi mshindi wa FA ya bongo ni Yanga hata msiumize bichwa
Nianze kwa kushukuru jukwaa hili kwa kazi nzuri linalofanya kutatua changamoto mbali mbali katika jamii kwa hoja, kero na maovu mengi yanayoanikwa hapa yamekuwa yakitatuliwa na wahusika moja kwa moja au kujirekebisha pale panapobidi.
Nikirudi kwenye mada hapo juu, imekuwa ni kawaida sasa kila...
Je, mzazi wako unaweza kumuita mlezi wako?
Naomba michango yenu wadau kwani naamini hapa ndipo kisima cha fikira na michango hai katika hiyo hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali wametuokolea mda na gharama japo hizo gharama sijui km zitarudishwa serikalini.
Lkn gharama na hasara ya chadema kujitoa ni kubwa kwa baadae kuliko ambavyo ingeshiriki lkn hii dhana inahitaji kwa mtu mwenye jicho la mwewe ndio ajue ninamaanisha nini,
Ni siku ya nne sasa nabanwa na kichomi cha mbavu, nilienda hospitalini nikapima wakasema ni pneumonia inanisumbua nikapewa dawa nikatumia lkn bado maumivu yako pale pale hayajapungua,kimebana upande wa kushoto chini ya kwapa.
Hivyo naomba kama kuna mdau anawezanisaidia dawa au ushauri dawa ya...
Msaada:
Nina mtoto ana umri wa miaka saba anasumbuliwa na vipele mwili mzima amejaribu dawa nyingi za hispitalini lkn hazijamsaidia na ana kama miaka miwili sasa vinamsumbia.
Mara nyingi vinakuwa kama chunusi hivi haviwashi wala havitengenezi usaha kama upele wa kawaida lkn vimekuwa haviponi...
Jamani tujifunze kujibiana kwa hoja humu, muuliza swali ansema anataka asaidiwe kifungu kinachompa mamlaka mkuu wa mkoa kutenda hilo analotenda mpe kifungu cha katiba, sio kumpa tusi ipo siku na wewe utahitaji kujua nawe ukatukanwa then ukashindwa kupata kusio la ulizo lako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.