Recent content by Afriboy

  1. A

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    App ya tHL itakuwa msaada mkubwa kwako, lakini pia unaweza kupita hapa: www.shuledirect.co.tz
  2. A

    Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

    Hiyo ni defensive mechanism ya mtoa mada.. Siyo lazima upate supp ili uonekane shujaa..
  3. A

    Afande Sele amchana Sugu, adai hajafanya lolote bungeni kutetea muziki, Sugu ajibu

    Huyo Afande Sele hajielewi, anasahau kuwa Joseph Mbilinyi ni mbunge wa wananchi na siyo wasanii.. Au ndo anavyolelewa ACT..
  4. A

    Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    Mkuu, scale ya mwalimu wa diploma ni ipi? Naomba kufahamishwa
  5. A

    Nini maana Ya DISTINCTION katika matokeo?

    Mkuu, mfumo wa GPA kwa O na A Level umeanza kutumika mwaka 2014, na ni kazi ya BRN kama usemavyo
  6. A

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Katika tahasusi yako, utajumlisha thamani za alama za masomo yote ya tahasusi (combination subjects) ili kupata jumla ya thamani ya tahasusi, kwa kuzingatia: A = 5, B+ = 4, B = 3, C = 2, D = 1. Kwa mfano: Kama umepata Physics - A Chemistry - C Mathematics - B+ GS - B Utazingatia masomo ya...
  7. A

    Nini maana Ya DISTINCTION katika matokeo?

    Nami ni muhitimu wa ualimu, na madaraja haya ya ufaulu nimeyafuatilia kwa makini na karibu sana.. KWA UALIMU: 1. DISTINCTION ni daraja la juu la ufaulu lenye GPA kuanzia 4.5 - 5.0 2. CREDIT ni daraja la ufaulu la pili baada ya distinction lenye GPA kuanzia 3.6 - 4.4 3. PASS ni daraja la...
  8. A

    Mwanafunzi Kidato cha kwanza abakwa darasani

    Upo sahihi kabisa aisee, ndo yanayotokea..
  9. A

    Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

    Lady Jay Dee hajawahi kulalamika nyimbo kutochezwa na media za nyumbani, ila media moja tu ya CLOUDS ambao wana mgogoro nae!! Kwa hyo comment yako ina ukweli asilimia 5% tu.
  10. A

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 05 Novemba, 2014

    Siyo kwa katiba yao tu mkuu, pia kwa maovu yote wanayowafanyia watanzania..
  11. A

    Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    chuo cha KASULU hakijatoa majina ww ucbshe ovyo
  12. A

    Mke wangu hajalikubali jina la mtoto wetu

    Wewe ulipewa jina gani huko kwenu? Unapaswa kubadilika kulingana na mazingira. Kama mkeo hajaridhia jina hilo unapaswa kushauriana nae, siyo kila jambo la kuiga..
  13. A

    Photos: Giant whale shark caught in China by local fisherman

    Kwa kweli ni haki yao kumuuza, tena ikibidi wafungue bucha la samaki
Back
Top Bottom