Recent content by affinitytz

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yashinda London na Rome katika Zabuni ya Kuandaa Mashindano ya Dunia ya Riadha 2029

    Hongereni sana
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Maghorofa ya Samia Kawe kugeuzwa AirBnB? Hivi hawaoni Janga la Makazi linalotishia Dar? Je, mlengwa ni nani?

    Nimepata taarifa kuwa Samia Housing imeshauzwa kwa wateja.
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Maghorofa ya Samia Kawe kugeuzwa AirBnB? Hivi hawaoni Janga la Makazi linalotishia Dar? Je, mlengwa ni nani?

    Kuna mentality imejengeka kwenye hili Taifa kujadili mambo kana kwamba Tanzania ni Canada au Denmark, watu wakishaishi Sinza, Masaki, Upanga wanajisahaulisha kuwa hii nchi bado maskini sana. Hoja za msingi kabisa lakini zinajadiliwa kwa mihemko bila kuzingatia hoja ya msingi juu ya majukumu ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Maghorofa ya Samia Kawe kugeuzwa AirBnB? Hivi hawaoni Janga la Makazi linalotishia Dar? Je, mlengwa ni nani?

    Serikali ilianzisha Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mwaka 1962 (chini ya Sheria ya Bunge Na. 45) kama shirika la kwanza la umma kuundwa mara baada ya uhuru, likiwa na lengo kuu la kutatua tatizo la makazi duni mijini na kuinua hali ya maisha ya Watanzania. Nafahamu kuwa sheria hii ilifanyiwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anatangaza kwenye Social Media anakodisha Nyumba yake hafu anaiita Airbnb?

    ''...Watanzania ni watu wa kuvamia mambo hata yale wasiyoyaelewa...'' Mch. Mtikila
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wazee kuna jamaa yangu kaanzisha biashara, kila wiki anataka nimuungishe, imekuwa kero!

    Ni wazi kuwa hiyo biashara bado haijasimama, analazimisha walau auze kwako.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu huduma duni na ya usumbufu ya M-Pesa

    Nandika hili bandiko kueleza kusikitishwa kwangu na kiwango cha huduma na ukosefu wa uwajibikaji kutoka kwa kampuni ya Vodacom Tanzania, hususan katika kitengo cha huduma ya kifedha ya M-PESA. Mnamo tarehe 3 Septemba 2026, nilifanya muamala wa malipo ya kiserikali kwa ajili ya leseni kupitia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    Miaka ile vyuo vikuu actually vilikuwa vitatu tu (UDSM, Mzumbe na SUA) wahadhiri walikuwa wanatoa madarasa huru sana juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa. Ukisikia mdahalo pale Nkurumah basi jua watu watatoa nondo za maana.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenyimwa Visa ubalozini kwa ''fujo'' alizofanya Guangzhou -China

    Nadhani ni muhimu ukiwa nchi za watu kuwa mpole tu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenyimwa Visa ubalozini kwa ''fujo'' alizofanya Guangzhou -China

    Hakupata VISA licha ya kujaribu katika ubalozi wa Zanzibar; inaonekana alishawekwa kwenye system yaani popote atakapoomba VISa ya China yupo banned.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenyimwa Visa ubalozini kwa ''fujo'' alizofanya Guangzhou -China

    Mwaka jana mwezi March, kabla ya utaratibu mpya wa kuomba Visa kwenye ubalozi wa China hapo jijini Dar es Salaam. Nikiwa nimeshajaza fomu zangu na nikiwa nimeshapewa notification ya appointment na kuwasilisha fomu ya maombi ya VISA pamoja na viambatanishi vingine nikafika ubalozi wa China...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo sababu 5 kwanini Telegram ni bora mara 100 kuliko WhatsApp

    Nik kweli, whatsapp inabebwa na bahati na urahisi wa kuitumia(User friendly)
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anam-post Bosi wake WhatsApp Status

    Bosi ameshika hatamu nyumbani na ofisini.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Songolo: Hakuna bodaboda aliyefunga bendera ya chama kwenye Kampeni bure, tuliwalipa walikuwa kwenye biashara

    Wanasiasa wana kauli yao inasema hivi ''kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu''
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Dakika za jioni Single Mothers anapokea kichapo kitakatifu.
Back
Top Bottom