Recent content by Afande kaweesi

  1. A

    Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Waafrika wengi bado tuna colonial mentality, ni ngumu sana kumtambua mwafrika alielimika na ambae hajaelimika!! Anae jiita msomi utamkuta kwenye foleni ya babu wa loliondo akisubiri apewe kikombe kilichojaa maji, akiamini eti hayo maji yanatibu na kumaliza kabisa magonjwa ya...
  2. A

    Ubovu wa product ya Mo ukwaju

    Watanzania siku tukiacha huu ujinga na upuuzi, tunaweza kupiga hatua toka kwenye mkwamo huu tulionao, mtu unaamka kutoka usingizini unawaza kuandika ujinga wakati mwanaume mwenzako anajaribu kufanya kila kilicho kwenye uwezo wake ili kujiongezea utajiri kwa ajiri yake na familia yake. Ngozi...
  3. A

    Mbwana Samatta Afunga Ndoa na Naima Omary. Tunawatakia Kila la Heri Katika Ndoa Yenu. Hongereni Sana.

    Vitu zingine zinachekesha!!! Sasa shela na hizo suti zinasaidia nini kwenye maisha yao?!!kwenye hizo biblia zenu mmeandikiwa lazima mvae shela,na suti?!! Akili nyingine ni aibu tu ni bora kutokuwa Nazi kabisa.
  4. A

    Afande Sirro tafadhali mtake radhi Afande Mambosasa

    Alichosema Afande IGP Sirro, makamanda wamekielewa vizuri sana, wewe kama unataka mumeo aombwe radhi unakosea sana, mumeo hana hadhi ya kuombwa radhi na IGP.
  5. A

    Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

    Haujielewi!!..ubongo wa kuku.
  6. A

    Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

    Ngozi nyeusi tuna matatizo sana!!!mtu anasimama anasema club inaweza kijiendesha kwa kuuza jezi na kutafuta wadhamini?!!hivi kwa nchi hii ambayo asilimia zaidi ya sabini ya wananchi wake wanavaa mitumba second hand,kutoka uko ulaya na Asia ndio wanunue jezi club ijiendeshe?!!! Uyo mshabiki kula...
  7. A

    Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

    Sasa unavyolia!!iyo ratiba yake ww ingekusaidia nn hata usingeijua?!!hivi ngozi nyeusi tuna tatizo gani?! Unasema kabisa eti "ndio nikaacha kumwamini!!!"au alikuwa anakubong'oa?!!kuna mambo mengi ya kuwaza na sio mwansume mzima unawaza ratiba za mwanaume mwenzako na unakuja kulalamika kwenye...
  8. A

    Ni kweli wanajeshi JWTZ mnapenda kuigana

    Hapana×3 Mimi sio miongoni mwao,ila nawapenda maana wamejitolea kutulinda sisi wananchi kwa jasho na damu.
  9. A

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Nafikili hauko sawa!!wewe ambae sio mburula nifundishe mimi unaeniita mbulula unachokijua kuhusu HISA?!! unakuja na matusi tu bila fact!!! Bila shaka ww ni product ya shule za kata..!!unapotaka ku mprove mtu wrong njoo na fact with data,sio kukurupuka na mitusi kama mlevi.kumbafu
  10. A

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Inaonekana hujui chochote kuhusu biashara na uwekezaji?!! Kwa kukupa taarifa kidogo ni kwamba Simbasc upande wa wanachama,wana hisa jumla 51%lakini walizo kubaliana kwa sasa kuziingiza kwenye uwekezaji ni 11%,na mgawanyo wake uko hivi :waasisi wa club wamepewa 1%wanachama wengine ni10%.mwekezaji...
  11. A

    Ni kweli wanajeshi JWTZ mnapenda kuigana

    Kumbe una muda mzuri tu wa kuzunguka makambini kwa wapiganaji kuchunguza?!!hongera sana,ushauri wangu hapa uwezi kupata majibu mazuri tembelea kambi iliyo karibu nawe uliza maswali yako utapatiwa majibu mazuri na glasi ya juice kwa uchunguzi wako makini.
  12. A

    Prof. Anna Tibaijuka atangaza kutogombea tena Ubunge, asema hakuna wa kumshinda zaidi ya Mungu

    Nimekuuliza maswali mawili tu?!!ila unatoa maelezo rukuki!!! Wala sina asili ya uko unakokusema, namjua Tibaijuka,ni mmoja kati ya wanawake wachache sana smart, ambao wamewahi kuzaliwa katika hii nchi. Nimekutana naye kwenye platforms mbalimbali kubwa za kitaifa na kimataifa,ni mama mwerevu...
Back
Top Bottom