Recent content by Afande Bellick

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

    Ungerahisisha zaidi endapo ungewauliza hao wenyeji na ma guide kuwa eneo Hilo limekuwa kwenye ulinzi kama huo kuanzia miaka gani. Hii ingesaidia wale wataalamu wakupewa heading nakutiririsha madini wapate pakuanzia. Ushauri: JF members tujifunze tabia ya kuchangia ukweli na uhakika kwa kile...
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

    Hakika yupo mikono salama Hasa hizi siku za mwanzo za kumtoa uraia. Huko alipoenda sio kama vyuo vingine ambavyo kipaombele kwa wanafunzi ni kubet na ngono.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kufanya Naye biashara

    Asante mkuu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kufanya Naye biashara

    Nawasalimu...Natamani mwezi August nifungue biashara ya kuuza mafuta ya kupikia,mchele na karanga. Kama kuna mtu yupo mikoa au eneo linalozalisha hayo mazao tunaweza kujadiliana namna yakufanya biashara kw maslahi ya pande zote mbili kwani nataka Kwa bei ya shambani. Nipo Moshi Kingine: Hivi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi kuhusu posho za nje ya kituo cha kazi

    Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala yote ndani ya nchi(mikoa yote) ambaye ofisi Yake ipo Dar Kwa mfano, anaweza kulipwa posho akiwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania kibaruani kwangu nimeongezewa majukumu lakini mshahara uko pale pale hii imekaaje?

    Job enrichment vs job enlargement......Nisehemu ya motisha mkuu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

    Hilo jambo lisijekuathiri upandaji wa madaraja Kwa watumishi wa umma hiyo July tafadhali.Kama haliepukiki basi lisogezwe mbele kidogo.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nakukemea Freeman Mbowe

    Mkuu umeandika nilichokuwa nakiwaza...Hawa wanaotaman Mbowe aongee bila shaka Wana maneno na mawazo ambayo wanataka Mbowe ayatamke.Akiongea tofauti wataibuka tena kusema anyamaze muda wake wa uongozi umeisha.
  9. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanarumbana CCM wanachekelea Watanzania wanaumia, ni nani mtetezi wa kweli wa Watanzania?

    Kuna namna CHADEMA ya Lissu inaenda kuirahisishia CCM kazi. Wangeshiriki tu uchaguzi kwani wasingekosa madiwani na wabunge kadhaa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Duuuh! Kwa ulivyosoma mada yangu naonekana kama mwehu flanie?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Kama kuna michezo kama hii hatupo salama sana.Nitajaribu kufatilia nijue hizo pesa zipo au ni kweli kuna janja janja
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Kama ni hivyo inamaana nikienda Kwa viongozi wakubwa wa benki hiyo kuna jipu/uozo utafichuka (Kam wahusika ni wangazi za chini)
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Ndg raia,rudi kwenye mada yangu tafadhali. Anyways,hivi hujasikia mheshimiwa flani akifafanua kuwa baadhi ya matukio sio utekaji bali ni 'Store away'?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini. Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa. Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

    Nadhani moyoni anaweza hivi "Kama tukiomba hatupewi ni Bora atupe yeye akiona inafaa"
Back
Top Bottom