Recent content by Advocate Deon

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ban on Recruitment Agencies: NFT Consult - Tigo waamka usingizini

    Recruitment Agencies Tanzania wamaendesha kazi zao kinyume na taratibu za nchi, kwa sababu ni wanyonyaji na wanawafukuzisha kazi wafanyakazi kwa hila ili waingie katika mchakato mwingine wa ajira wanufaike na hili ni kinyume na sharia za nchi, nigewaomba watanzania wenzangu ambao ni wahanga wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    Nilishawahi kusema na nitaendelea kusema mpaka siku naingia KABURINI, watanzania wanahitaji kujikomboa KIFIKRA, cha kushangaza hata wasomi wenzangu wa nchi hii bado hawajajikomboa kifikra na hii ni hatari sana katika usitawi wa taifa changa kama Tanzania, leo hii viongozi wote wanalalamika si...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana lolote

    Naamini kabsa tatzo la Watanzania wengi bado hawajajikomboa kifikira na hii ni mpaka na viongozi wetu. Our lives have been compromised by people of double standards when it comes to national issues. Na ni vigumu kuwanafikisha watanzania leo kwa kutumiwa then kesho uka-act kukosoa wengine...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wangu kanigeuka, nimemfungulia shitaka, wanasheria nisaidieni

    Sheria inatambua umiliki wa biashara na au pango kupitia nyaraka zifuatazo; leseni ya biashara,mmiliki wa TIN NO. mikataba ya pango na au "course of dealings" ambayo itabainisha nani alikua BOSS(mtoa maelekezo/magizo) na nani alikua mfanyakazi(mpokea maelekezo/magizo). Unaweza kunitafuta email...
  5. A

  6. A

    JamiiForums Tanzania Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

    Ni vema tukajadili uzi husika kuliko kutoa personal attacks,mimi kama junior lawyer sina shaka na uwezo wa ndugu msomi mwenzangu lissu. Lazima tufahamu ya kwamba kila chama kina katiba/sheria na malengo yake kisiasa.
  7. A

  8. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    Ili kukidhi takwa la sheria kosa la jinai linalomkabili mtuhumiwa lingethibitishwa kwanza na baada ya kushindwa kuthibitisha ndio mashauri ya 'malicious prosecution' na 'defamation' yangefuata. Kama mwanasheria makini ni vizuri kufikili vizuri kabla ya kumshauri mteja wako,vinginevyo utakua...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ningependa Mnyika awe raisi wa Taifa letu la Tanzania hata kama baada ya miaka15 au 20 ijayo

    Nadhani bado yuko na nafasi ya kujiendeleza kielimu ili kukidhi andiko hilo la katiba ijayo, HOWEVER kabla ya kufikilia kuongoza ni lazima kujiulza umeifanyia nini TANZANIA kiukweli tunahitaji raisi BORA haraka iwezekavyo ili kuikomboa nchi yetu......
Back
Top Bottom