Mfanyakazi wangu kanigeuka, nimemfungulia shitaka, wanasheria nisaidieni

Mambo kama haya hutokea kama Ibu ulimfanya kuwa mpenzi wako maana haingii akilini nyumba ukodishe wewe sign apige ibu si ubwege huo?

unapokuwa na msiba alafu ukaletewa msiba mwingine....nakubali MM -----
 
Sheria inatambua umiliki wa biashara na au pango kupitia nyaraka zifuatazo; leseni ya biashara,mmiliki wa TIN NO. mikataba ya pango na au "course of dealings" ambayo itabainisha nani alikua BOSS(mtoa maelekezo/magizo) na nani alikua mfanyakazi(mpokea maelekezo/magizo). Unaweza kunitafuta email address yangu advocatedeon@yahoo.com. Mungu ni mwema na haki yako utaipata,just be calm. Thanks.
 
Back
Top Bottom