Recent content by advisor b

  1. A

    Huyu George Maratu wa ITV style yake ya utangazaji ikoje?

    Kila shetan na mbuyu wake we humpend wengine twampenda ni hulka tu ya mtu
  2. A

    Nimeanza mwaka kwa kuacha punyeto

    Siajabu saiv anawaza akapige kingine ili na aseme cha mwisho Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
  3. A

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Siha na Diwani wa Kata ya Garagua, ametangaza kujiuzulu

    Cpati picha Tanzania ya sasa tunakoipeleka.unafiki ndio utakao kuja kuiua na kuifilisi nchi yetu.iv hata ukiwa kiongozi wa chama cha upinzani huwez kutekeleza majukumu yako?kuhamia chama kingine mi naona hauwezi kuvunja malengo yako uliopanga kuyafanya kama kiongozi kwa manufaa ya wananchi.na...
  4. A

    Angela Kairuki naye akatubu kwa aliyowafanyia watumishi

    Nikikumbuka toka mwaka Jana disemba tulivyoandika barua za likizo za malipo lakin had leo hatujapata cwez kuamin.na nikizingatia kauli moja alivyoitoa wakati wa kampen kuwa haiwezekan mtumishi acheleweshewe hela yake ya likizo.ila yote tumemuachia mungu.
  5. A

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    Namba kumi na moja! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    Mhagama: Waajiri wawe wamejiunga na Mfuko wa fidia kwa Watumishi lazima ifikapo tarehe 30.7.2017

    Uhuru huo haupo tena.watapelekwa sero wakijadili.sijawah kuona utawala kama huu sio sir labda ule wa makaburu.lakini ikumbukwe kilio cha masikin ni laana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Mhagama: Waajiri wawe wamejiunga na Mfuko wa fidia kwa Watumishi lazima ifikapo tarehe 30.7.2017

    Hata mtoto kishaona hitilafu za serikali yetu.lowasa tutakukumbuka sana busara zako ni kubwa.jamaa nyota yako imemshinda chukua urais nchi irudi mahali pake Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Mhagama: Waajiri wawe wamejiunga na Mfuko wa fidia kwa Watumishi lazima ifikapo tarehe 30.7.2017

    Daa watumishi tutafia kibaruani.japo wahanga husema mnyonge mnyongen lakini haki Yake mpeni.serikali imewafilisi watumishi vya kutosha kilichobaki wapeni stahiki zao.bila hivyo serikali itakuwa ya uonevu mabavu na ya utapeli kwa watumishi wake.serikali jaribuni kutumia busara. Sent using Jamii...
  9. A

    Kumbukumbu: Rais Magufuli alimpandisha cheo Jaji wa kesi ya Kafulila

    Duu Nikajua ni madaraja Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

    Unapopigania haki lazima utakumbana na mengi lakini mwisho wa ubaya ni aibu.kwani Mandela ilikuaje?lakin leo tunamuita mpigania haki za wanyonge. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Rais Magufuli atoa ahadi nyingine kwa watumishi akiwa Tabora

    Yote tumuachie mungu.akiongeza leo kesho mwakan hata asipoongeza sawa ni yeye tu tumeshazoea sasa.sisi tutapiga kazi ila ikumbukwe tu kuwa kwa mungu kila got litapigw normatter we ni chama gan! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kwajili ya kutoa rambirambi

    Huyu majaliwa ana busara sana mtu wa watu.na pia ana hekima.mungu akutangulie waziri wetu huwa nafurah sana tena zaid ya kufurah napokuta viongoz wanaonesha busara na hekima kama hiyo.sio hao kina G
  13. A

    Head: Mkopo(unaolipa madeni) rahisi na wa haraka sana

    Riba yao ni kiasi gan?
Back
Top Bottom