Recent content by Advfx

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mchaga kamwe haisomi namba ya Msukuma

    Mmetoka kwenye siasa now ni kampeni ya kukuza ukabila sio
  2. A

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mh. Lissu akishatoka alikozuwiwa Kwa nguvu baada ya kuyakaanga machawa inafaa akiwa rais pia awe Lecturer- Law Chuo Kikuu Cha Serikali

    Huku hatuongozwi na wanasiasa sheria ni kitu kingine regardless unaijua au huijui si afya kwasababu ya siasa tu ila angekuwa si mwanasiasa 💯 nakuunga mkono
  3. A

    JamiiForums Tanzania Soko halina huruma. Kwa huu mlipuko wa biashara ya Wi-Fi, tunakoelekea internet itaanza kuuzwa sh 200, huku Serikali ikianzisha vibali na kodi mpya

    Usifanye kazi ita serikali dhalimu ,hakuna siku wananchi watalipwa pesa ya bure
  4. A

    JamiiForums Tanzania Makabila ambayo bora uwe single

    We ni mpu.....vu acha kuchochea ukabila usio na maana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

    We ni ..... nikuulize kitu sipingi katiba mpya ila hiyo katiba mpya ndio itaenda kuvua samaki? Mmechengeshwa akili kuamini katiba mpya ndio itabadilisha maisha yenu. Ok nikuulize nipe specific reason ya katiba mpya with supportive constitution provisions.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Freedom House: Tanzania namba 2 kwenye nchi zilizoshuka zaidi kwenye haki za kiraia na kidemokrasia duniani

    Uganda kaachwa wapi au ni siasa tu na kujiharibia wenyewe
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hi naweza soma diplomasia na nikapata ajira nzur au niende geology (hgl division 2 ya point 10)
Back
Top Bottom