Vyama vya upinzani vya tz vimejikita sana kwenye kukosoa,wakati wanapokuwa bize na kupingapinga kila jambo,ccm kupitia john magufuli inaendelea kurekebisha mambo na kuleta maendeleo lukuki kwa watanzania ,mwisho wa Siku watakaporudi kwenye sela watakuta ccm imesha maliza kilakitu na watanzania...
Kabisa lakini kwamwendo huu wamzee jinsi unavyokwenda nakasi hii inatakiwa watumishi wa uma wabadilike tu vinginevyo watapukutika wengi sana kwakutumbuliwa.maana huyu mzee hataki masihara kabisaaa
Magufuri 2020anapita kiulaini Sana hana haja ya makubaliano yakumtumbua mtu, jambo kubwa linalompandisha kisiasa nijinsi anavyoikemea rushwa waziwazi pasipo kificho na hivyo wananchi wanafarijika Sana kwa kiongozi wao kama rais kuwa namsimamo katika jambo baya kama hilo la rushwa, jpm yuko...
Leo wanamwona mwoga baada yakurudi ccm hapo ndipo ninapokamilisha usemi wangu kuwa chadema hawapo sirias na siasa zao.sasa mwekeni membe tuwatwange pia.
Huo ni ushirikina mafungu hayo kila fungu moja amelinuizia mambo anayo yataka katika uhusiano wenu kwaufupi Huyo amekufunga we we iliuwe bwege mpige chini fasta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.