Recent content by Adry lyamuya

  1. Adry lyamuya

    First year washaanza kukinukisha mitandaoni

    Hapo utakuta course aliyochagua Hana uhakika Kama ataajiriwa Course yenyewe hata haijui....
  2. Adry lyamuya

    St . Augustine University of Tanzania(SAUT) _ Arusha centre

    Mbona wamenitumia ujumbe kwenye simu mwezi uliopita kwamba nimechaguliwa hapo diploma..
  3. Adry lyamuya

    St . Augustine University of Tanzania(SAUT) _ Arusha centre

    Habari za Asubuhi wakubwa zangu mwenyezi mungu ametupa ahueni tena na tunaendelea na majukumu yetu ya Kila siku. awali ya yote mimi Ni mwanafunzi niliechaguliwa kusoma hapo SAUT _Arusha ngazi ya diploma nilikua nahitaji msaada Kwa ambao wamekwisha soma hapo...
  4. Adry lyamuya

    Hatma ya wasomi wetu Tanzania

    Kitu kinacho changia ukosefu wa ajira Ni mifumo yetu ya elimu kuwa mibovu na dhaifu Yani haimfanyi mwanafunzi kuwa mbunifu wa kitu chake kutokana na fani (profession) yake aliyosomea Badala yake wanafunzi wanasoma ili tu kufaulu mitihani na hawafundishwi uvumbuzi Yani...
  5. Adry lyamuya

    Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Ndugu yangu Kama upo mkoani Arusha ungejaribu maduka ya Benson & company Hawa Ni wauzaji wa vifaa mbali mbali mbali vya umeme ikiwemo camera za kisasa za Canon ila Bei zinatofautiana
  6. Adry lyamuya

    Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

    Ajira za siku hizi Kama huna connection ndo ivo tena...
  7. Adry lyamuya

    Majina ya wanufaikaji wa mkopo yanatarajiwa kutolewa lini rasmi?

    Tusubiri tu Maana hii serikali yetu haitabiriki Kwa kweli
  8. Adry lyamuya

    Namna walimu wanavyogharamia Elimu bure bila kujua

    Kwa kweli Elimu yetu ina challenges nyingi Itabidi serikali yetu itafute solutions ya haya matatizo la sivyo tunakwenda tusikotarajia
Back
Top Bottom