Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,738
- 7,012
Salama wana JF,
Napenda kushiriki nanyi kimawazo kuhusu ufanikishaji wa uendeshaji wa hii elimu bure.
Katika ukweli ulio wazi, ukijaribu kupiga hesabu
Utakuta kwamba stahiki za walimu yaan madaraja , increment nk, zilizominywa Kupewa watumish kama haki yao.
Vimehamishiwa kuendesha Elimu bure ambayo kila kukicha ina changamoto zinazoongezeka kila Leo.
Mfano, kuna shule moja ina jumla ya walimu 34.
Hawa walimu kwa ujmla walistahili kupanda daraja na increment tangu mwaka 2016.
Ambapo kila mmoja kwa uchache angepata ongezeko la jumla SH.150,000 kwa mwezi.
Sasa ukichukua hilo ongezeko mara idadi ya walimu 34, serikali ingetumia Jumla Sh. 5,100,000 kuwalipa haki yao.
Lkn hiyo hela wamenyimwa na imehamishiw kweny ruzuku ya Elimu bure kweny hiyohiyo shule ambapo hiyo shule inapata Sh.4,537,890.
Ukiangalia ni kwmb ktk kila shule iliyopo Tanzania ukipiga hesabu jumla ya pesa wanazotakiw kulipwa kwa kila mwezi lkn wamenyimwa kibabe tu, ndo hizo zinaendesha elimu bure.
Binafsi niseme kama mtanzania, hii serikali ya awamu hii ndio serikali ya hovyo na isiyojua kuzalisha chochote zaid ya kunyang'anya haki za watu wake hasa wanyonge.
Ukianglia maish yamekuw magum sana kwa watu, lkn ipo tu, ikiendelea kubana watu waitukuze.
Neno langu.
Watumishi msioneshe Njaa ktk kudai haki yenu mliyopokonywa makusudi.
kikubw Kaeni chini mtumie fursa zilizopo.
Ni suala la muda tu wakati utaamua.