St . Augustine University of Tanzania(SAUT) _ Arusha centre

St . Augustine University of Tanzania(SAUT) _ Arusha centre

Adry lyamuya

Member
Joined
Sep 28, 2019
Posts
10
Reaction score
2
Habari za Asubuhi wakubwa zangu mwenyezi mungu ametupa ahueni tena na tunaendelea na majukumu yetu ya Kila siku. awali ya yote mimi Ni mwanafunzi niliechaguliwa kusoma hapo SAUT _Arusha ngazi ya diploma nilikua nahitaji msaada Kwa ambao wamekwisha soma hapo wanipe angalau uzoefu katika ufanisi wao kitaaluma ukilinganisha na vyuo vingine ....

Pia wenzangu ambao wamechaguliwa kusoma hapo SAUT_ Arusha centre ngazi mbali mbali angalau tujuane mapema na Kama tujuavyo registration day kama walivyo tangaza Ni tarehe 14 October 2019
 
Kijana kasome ..watu wapo tu uta juana nao chuoni vizuri ..
 
Mbona wamenitumia ujumbe kwenye simu mwezi uliopita kwamba nimechaguliwa hapo diploma..
 
First year bna yani Full Wenge watu utawakuta chuo kijana we kasome mambo ya ufanisi wa chuo hayana tija mana kazini unapimwa kwa kujiongeza kwako na inshu za chuo nyingi huzi apply kazini
 
Back
Top Bottom