Recent content by Adrianshield

  1. Adrianshield

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam na wazoefu wa pikipiki

    kwa mazingira ya kubeba mizigo usinunue pikipiki za aina hiyo ulizozitaja. Nunua kinglion, fekon, au t better za cc 150 zisiwe na body ya muundo wa hizo boxer. hutajuta
  2. Adrianshield

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Be blessed.
  3. Adrianshield

    JamiiForums Tanzania Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

    Hii hali mara nyingi usiku ndio inakuwa mbaya sana unawashwa zaidi? Nimewai kuumwa miezi zaidi ya minne. Tiba tu ilizidi 250k sijaona nafuu yoyote wala kupona cha ajabu nikaja kupona na dawa hata haifiki elfu tano. Kanunue BBE dawa ya kupaka, nazani pharmacy haizidi hata elfu 3 ndani ya siku...
  4. Adrianshield

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu wa kiume wa miezi saba haoneshi dalili ya kusimamisha uume

    Msikilize huyu tiba ipo hapa, nishaiona hii tena jamaa alikuwa mtu mzima umri wa kuoa baada ya hiyo akawa sawa. Though strategy iliyotumika ilibidi jamaa azimishwe kwanza.
  5. Adrianshield

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kujifunza Key Programming za magari

    Samahani wana JF kama kuna fundi wa Key programming za magari naomba kujifunza. Mimi ni begginer kabisa ujuzi nilionao ni wa program za doagnosis na repair ndogo ndogo za umeme wa magari.
  6. Adrianshield

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mnajirekodi video mkiwa faragha?

    hili nalo mkalitizame.
  7. Adrianshield

    JamiiForums Tanzania Nihudhurie usaili upi kati ya hizi mbili?

    follow your instincts brother. ile sehemu unayosukumwa sana kuwepo inabidi uwepo sehemu hiyo.
  8. Adrianshield

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi Ualimu

    kama bado hujapata mwalimu nitafute ndani ya miezi miwili mabadaliko utaanza kuyaona.
Back
Top Bottom