Recent content by Adjoub Adjoub

  1. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kukutana na jini? Ilikuwaje? Njoo tusimuliane simulizi za kweli

    Moja ya mambo ambayo napambana watoto wangu wasije wakaamini na kuhangaika navyo ni hili suala la Majini na Uchawi. Kwangu Majini ni Uchawi ni sawa na UONGO/ULAGHAI ambavyo kwa pamoja, vinamuweka mtu mbali na MUNGU. Ukiwa mwepesi wa kuamini maswala ya majini na uchawi unajifunga uelewa wako...
  2. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Bakwata songea na upigaji kwenye dili la ununuzi wa nyumba ya mtekateka

    Sheria dini ya Kiislamu zinakataza mtu kufanya aina yeyote ya dhuluma, utapeli, ulaghai na hiyana katika hatua nzima ya ufanyaji wa biashara iwe kwenye manunuzi au uuzaji. Lakini utaratibu huo inaonekana kutozingatiwa na Kamati ya Manunuzi ya Baraza Kuu la Waislamu Manispaa ya Songea (BAKWATA)...
  3. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Katika Islam, Yesu anaitwa Issa Bin Maryam kwa sababu hakuwa na 'biological father' na Mungu katika Quran ameamrisha watoto waitwe kwa majina/ubini wa baba zao. Hivyo, kwa kuwa Maryam hakuingiliana na mwanaume yeyote kabla hajamzaa Yesu, nasaba ya Issa inaanzia moja kwa moja kwa Maryam mwenyewe...
  4. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

    Wanawake wengi hawafuati au hawajui misingi ya dini kwa ufasaha wake kwenye ndoa, wengi wanaendeshwa kwa kauli za wahamasishaji wa masuala ya ndoa kama akina Harvey, Chris Mauki, Jada Smith na wengine ambao ndoa zao zinaendeshwa kwa namna wanavyoona wao zinafaa. Hivyo, wengi wao wanajikuta...
  5. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unafiki wa majirani zetu watanzania

    Usisahau video ya Eric Omondi kuhusu thamani ndogo ya pesa za Kitanzania. Sio la kulipuuzua hata kidogo
  6. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Dunia inaelekea kubaya sana kwa hali ilivyo sasa sidhani kama itapita miaka 100 bila kurudi kwa BWANA YESU.

    Mungu Ameweka kanuni ya wazi juu ya miaka ambayo yeye hutuma manabii wake Ulimwenguni. Soma maandiko kwa umakini utagundua hupita miaka kadhaa baina ya nabii na nabii mwingine. Yesu alitumwa kwa Waisraeli baada ya miaka 1500 ya Nabii Musa (Moses). Tazama Muhammad vile vile. Na sasa ni miaka 1500...
  7. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

    Wanashiriki kama wageni tu. Ivory Coast ile ya akina Cheche walikuja hapa Kushiriki mashindano ya Chalenji kama wageni kipindi kile
  8. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    Kufanya kosa A hakukupi ruhusa ya kufanya kosa B, vivyo hivyo kwa kosa C n.k. Kumuita mke au mchumba unayemuingilia Mama ni kosa na hata kikawaida tu ni utovu wa adabu kumfananisha yeye na Mama yako, watoto wako nao wamuiteje?
  9. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    Unachouliza hakihusiani na mada tajwa hapo. Nikijibu tutatoka nje ya kinachozungumzwa
  10. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    Kuzini adhabu yake iko wazi... Mijeledi 100
  11. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    Kumuita mkeo 'Mama' ni kumkosea adabu mwenye hadhi yake ya kuitwa hivyo. Huwezi kumuingilia mama yako hata siku 1. Kumuita mkeo mama kunaondoa ile ladha ya Heshima kwa MAMA aliyekuzaa au kukulea. Wenzetu Waislam wamekatazwa kuwaita wake zao MAMA na adhabu yake ni kufunga siku 21.
  12. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Wakuu nawasilisha kwa habari hii ya wizi uliotutokea jana

    Mimi kuna rafiki yangu Abby, kadhulymiwa na mmoja ya wacheza dansi wa Twanga Pepeta, anaitwa Super Nyamwela, ambaye alimuomba huyo rafiki yangu amdhamini TV ya Smart inchi 32 ofisini kwao kupitia mdogo wake anaitwa Nicholas, kwamba angelipa baada ya mwezi mmoja. Huu Mwezi wa Sita sasa, kalipa...
  13. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ningekuwa Waziri Mkuu ningemshauri Rais uchaguzi 2020 aufute waliopo madarakani waendelee na nafasi zao

    Ni hatari kwa kiongozi wa dini kuzungumza maneno kama hayo. Kwa mtazamo wake, dini unafungamana na siasa na ndio maana imekuwa rahisi tu kwake kutamka maneno hayo bila kujali tofauti za kiitikadi na kichama za waumini wake. Ni maoni mabaya kutolewa na kiongozi wa dini au kanisa. Anawagawa...
  14. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Hivi itakuaje siku Ukifa ile hela yako uliyokuwa unatoa sadaka kanisani/msikitini ndio hela yako ya matumizi

    Mbinguni haitumiki pesa na hazina kazi. Pesa ni zao la mwanadamu tu, mbinguni zao hilo halina thamani tena. Kule hakuna materials kama hizi za duniani. Mfano wa hali ya mbinguni ni sawa na Njozi. Unapotoa Njozi unaona kila kinachotokea Njozini kama kitu halisi. Unaweza ukajipata kuwa wewe ni...
  15. Adjoub Adjoub

    JamiiForums Tanzania Majina ya ‘majiin’

    Kila anayeamini jinni ni mfano wa hivyo nilivyotaja ni Ahmadiyya? Unakosea. Chunguza vema aya inayotaja majinni mwishowe inawahusu akina nani? Ikiwa majinni ni viumbe wengine bila shaka palikuwa na haja na wao (kwa fijra zako) wakahitaji nabii au mtume jinni kama wao, si binadamu kama mitume...
Back
Top Bottom