Majina ya ‘majiin’

Majina ya ‘majiin’

'Jiin ana uwezo much far kuliko bin adam'

Thibitisha hayo maelezo acha kuzunguka

NNaona kuna tukio limekufanya ukawa puzzled kwa hiyo unajaribu kufanya utafiti kujua nini kilitokea, hujaelewa kwa sababu haikutokea kawaida kama wewe unavyojua siku zote. Na utakuwa puzzled zaidi, bado hujaona mechi ya Yesu inavyochezwa, wait and see. Endelea na utafiti wako
 
Hayo majjna ya majini ni majina ya koo zao sio majina ya jini mmoja mmoja. Yapo ya koo za Kiafrika (kama mzuka, kibwengo, makata, n.k.) lakini pia zipo koo za Kiarabu (kama Sharifu, Ruhani n.k.). Yapo ya koo za kizungu pia. Unaweza kumsikia Mwafrika ambaye hajawahi kwenda shule kabisa, akieleza kwa Kiingereza kizuri kabisa mambo fulani wakati ambapo amepandisha pepo. Pepo likiondoka, hajui hata neno moja la Kiingereza.
Bibi amekuwa akifanya hivyo.
 
Aisee Nilipata kusikia akijitambulisha kwa jina la Elias. Tulikuwa kwenye msiba akasema amekuja tu kutoa pole hapo msibani. Kuna shemeji yangu alifariki ktk mazingira tatanishi. Na alipojaribu kutaka kutueleza nini kimetokea, mara akasema mwenyewe bado wapo mimi nakimbia.
 
NNaona kuna tukio limekufanya ukawa puzzled kwa hiyo unajaribu kufanya utafiti kujua nini kilitokea, hujaelewa kwa sababu haikutokea kawaida kama wewe unavyojua siku zote. Na utakuwa puzzled zaidi, bado hujaona mechi ya Yesu inavyochezwa, wait and see. Endelea na utafiti wako
Huoni huo ni "ufataani" kipi kati ya hayo yote uliyoandika ambacho umethibitisha kuwa yametokea/ nimeyasema?

Je unao ushahidi kuwa "majiin" yana uwezo mkubwa kuliko bin adam?
 
Kila anayeamini jinni ni mfano wa hivyo nilivyotaja ni Ahmadiyya? Unakosea. Chunguza vema aya inayotaja majinni mwishowe inawahusu akina nani? Ikiwa majinni ni viumbe wengine bila shaka palikuwa na haja na wao (kwa fijra zako) wakahitaji nabii au mtume jinni kama wao, si binadamu kama mitume wengine. Tafakari hapo kwa kina. Ikiwa majinni ni viumbe visivyoonekana mbona manabii wanatumwa kwa wanadamu tu? Au kuna nabii jinni?
Kweli usichikijua ni usiku wa giza. nyie wafuasi wa Ahmadiyya mnanishangaza sana. Jinni Tangu lini ikawa na maana ya mtu mwenye hadhi kubwa? Sasa kwanini basi hujasem hio aya (Sikuwaumba majini na binaadamu...) inazungumzia nyoka, bakteria au takataka? Wapi imetumika kumaanisha watu wakubwa wakubwa wasioonekana sana? Kaaaaazi kweli kweli!
 
Kila anayeamini jinni ni mfano wa hivyo nilivyotaja ni Ahmadiyya? Unakosea. Chunguza vema aya inayotaja majinni mwishowe inawahusu akina nani? Ikiwa majinni ni viumbe wengine bila shaka palikuwa na haja na wao (kwa fijra zako) wakahitaji nabii au mtume jinni kama wao, si binadamu kama mitume wengine. Tafakari hapo kwa kina. Ikiwa majinni ni viumbe visivyoonekana mbona manabii wanatumwa kwa wanadamu tu? Au kuna nabii jinni?
Ndio maana ndio zenu kwa kupindisha maana ya Quran. na ndio naendelea kusema, faida ya Quran kubaki kwenye asili yake, akitokea mtu kama wewe mwenye kupindisha, basi aya halisi ipo unaweza ukaichukua na ukaidadavua.

Majini ni viumbe visivoonekana kama Quran ilivosema, vile vile kuprove kama argument zako ni mbovu.

Allah ndani ya Quran amesema kuwa amemuumba mtu kwa udongo, na Jinni kwa moto.

Malaika nao akawaumba kwa Nuru na hawakuwa na nabii. Hivi kama Majini waliokuwa wakiishi mbinguni nao walihitaji nabii? Ilikuaje Ibilisi alikuwa mtiifu kwa Mungu (Kabla ya kuasi) wengine walikuwa waasi?
 
Back
Top Bottom