Mkuu Rich pol labda kwa kumsaidia HEKAYA na watu wengine walio na shida kama yake, huo utaratibu wa kwenda kwenye mitandao ya simu inagharimu shillings ngapi?
Kama mtatiro alienda kusaini (refer maneno ya lukuvi bungeni)ili tume ya katiba ivunjwe baada ya kuwasilisha rasimu ya katiba atashindwaje kuja hapa jf kusema uongo.
Mnyika anajitambua, Zitto akiambiwa wewe ni mwanasiasa msomi halafu akavuta picha ya alipotoka, kichwa kinavimba, kiburi na dharau kibao. CDM kutimua hawa jamaa ni fundisho tosha kwa manasiasa
Hii imekuwa basketball au?, mchezaji hata akipigwa sub anaweza rudi tena. Hivi kweli ccm hamna watu wa kuweza kuwa mawaziri hadi lowasa awe waziri tena? Na kwa tabia hii mwakani mawaziri waliofutwa uwaziri kwa sababu ya operation tokomeza watakuwa mawaziri tena ambayo ni dhihaka kwa watanzania...
Ndugu sisi binadamu ni vigumi sana kujua mtu kama ni mnafiki au vinginevyo. It takes a spirit of God to know that. Kibinadamu anaweza kuwa kama unavodhani lakini mbele za Mungu akawa yuko sahihi. Hata hivo "a church is a place where sinner meet for sanctification of their sins"
Jonathan, tatufa dish dogo utapata kitu bila chenga na kama unalo tafuta Fundi akurekebishie,
Kinachoendelea sasa hivi kuna mtanzania anaitwa Mohammed ameombewa alikuwa na tatizo la kutokusikia kwa muda wa miaka miwili ameombewa na kupona kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.