Kuna njama ndani ya CHADEMA

Kuna njama ndani ya CHADEMA

acha ktumika unaongea vitu usivovijua

Anatumika wapi ww? zzk anajua alichokipanda na alichokuwa anakianda dhidi ya chama tumaini la watanzania,aende kuwa mbunge wa kwa tiketi ya chama kingine.USALITI! UNASALITI wanaojitoa maisha! Mungu yupo.Sasa kwisha habari yake.
 
Sababu ni moja tu ubavu na nguvu ya shibuda kukisambaratisha chama ni ndogo sana ukimlinganisha na zitto. Na pia shibuda ni msema hovyo aliyekosa dira wala hana mkakati wowote wa kukisambaratisha chama. Hivyo usaliti wa shibuda angalau unavumilika kuliko ule wa zitto
 
acha ktumika unaongea vitu usivovijua

Unataka niongee unachojua wewe au? Hayo ndo matunda ya unafiki na kiburi. Eti unajiita mwana siasa msomi, unajua wasomi walivo wewe? Natumaini umeshajifunza.
 
MODS HEMBU ACHENI HII CHANGAMOTO YA USALITI TUICHAMBUE (acheni huu uzi)
Ndugu wadau hususan wana jf nimekuwa nikifatilia siasa ndan ya chadema kwa muda mrefu hasa juu ya kile kinachotafsiriwa usaliti wa mh zzk na kufikia hatua ya kujiuliza maswali mengi mf kati ya mh zzk na shibuda hiv ni nan hasa msaliti.

Mara nying tumekuwa tukimuona mh shibuda akijitokeza wazi kwenye vikao na mikutano ya ccm na kukisema chama kimafumbo lakin hatujawah kusikia chama kikimjadili kama wanavyomjadili sasa mh zzk ambaye mara nying amekuwa akijitoa kujenga chama katika mikoa mbalimbali tofaut na shibuda.

My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi

Yaani ushahidi uliowekwa wazi kuhusu Hujuma alizokuwa anafanya Zito mpaka wana CCM wenzake wanatoboa kila kitu na kuahidi kutoa lisiti za kununulia magari aliyopewa Zito bado tu hujaelewa !!!!!!!?? Umelogwa au we ndo Zito mwenyewe !!!
 
wamemwaga mboga sasa subiri tuanze kumwaga ugali
 
MODS HEMBU ACHENI HII CHANGAMOTO YA USALITI TUICHAMBUE (acheni huu uzi)
Ndugu wadau hususan wana jf nimekuwa nikifatilia siasa ndan ya chadema kwa muda mrefu hasa juu ya kile kinachotafsiriwa usaliti wa mh zzk na kufikia hatua ya kujiuliza maswali mengi mf kati ya mh zzk na shibuda hiv ni nan hasa msaliti.

Mara nying tumekuwa tukimuona mh shibuda akijitokeza wazi kwenye vikao na mikutano ya ccm na kukisema chama kimafumbo lakin hatujawah kusikia chama kikimjadili kama wanavyomjadili sasa mh zzk ambaye mara nying amekuwa akijitoa kujenga chama katika mikoa mbalimbali tofaut na shibuda.

My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi
Kwa vile mods wameuacha uzi huu na kufuta nyingine zenye mashiko zaidi; bila hiana wacha tuchangie.

Ni hivi Mh. Shibuda ameshakuwa neutralized, hana madhara tena. Upande wa Zitto zilifanyika juhudi kubwa sana kumrekebisha na ilipobidi kumshawishi lakini wapi. Hasa Mh. Mbowe alimbeba sana Zitto akiamini angerudi kwenye mstari.

So each case was evaluated and dealt with individually and separately.
 
Usaliti wa Shibuda hauna madhara sana kwenye chama kwani hauna mtandao na hakuna anayeufadhili isipokuwa ni fursa anayoijenga ili kulinda nafasi yake ndani ya CCM; Ikumbukwe CDM aliingia kufata upepo na kulinda ubunge wake dhidi ya siasa chafu za wapinzani wake.

Usaliti wa Zitto, unadidimiza chama na kurudisha nyuma harakati za ukombozi; hapo kama una akiri timamu lazima uchukue hatua.

Katika jibu sahihi linalomfaa mtoa mada nnaona alizingatie hili bandiko lako hapa ,nnakupa like mkuu.
 
Kama ningekuwa mshauri wa Zitto, angeweza kutoka salama katika hili sagga, lakini kwa hawa washauri alionao, ni ndoto ya mchana....Wanamuangamiza maskini Zitto wa watu, nae sasa ashachanganyikiwa hata sijui kama ataweza kuhimili hizi stress.....Namshauri asiwasikilize washauri wake wa zamani
 
Join Date : 4th January 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 16

Hii inaonyesha ni jinsi gani lumumba B7 fc inavyojitahidi kufanya usajili mpya wakati huu wa dirisha dogo.

Asante sana kuonyesha profile hii.maana nilikuwa napata tabu sana .kuona ni jinsi gana huu upuuzi unaendelea kujadiliwa hapa .ccm ziii chadema hoyeee .
 
Mi naona haya mambo ya siasa za Tanzania ni upuuzi mtupu kuendelea kufuatilia.
Nimeamua rasmi kutojihusisha na siasa chafuzi za kitanzania na kujikita kwenye jukwaa la ujasiriamali huko ndo naweza kujikomboa mimi na familia yangu.
Nchi hii yote imejawa na ubinafsi/wachumia tumbo na hakuna mkombozi wa kweli kuptia siasa za vyama vingi zaidi ya kupakana matope na kujengeana makundi dharmu na hatimaye kuvuruga mbinu na mikakati ya kiukombozi.
Demokrasia ktk Nchi hii imekuja kuvuruga amani ya nchi na uzalendo.
Watu wapo tiari kutoa povu jingi sana jukwaani kupondana kisiasa ila ni kwa masrahi binafsi.
Tunashindwa kujadli masuala nyeti yanaloliangamiza taifa, leo hii hakuna kiongozi awaye yeyote si kisiasa wala watawala waliopo madarakani anaweza kuelezea anaumia au kuguswa vp na ukimya wa masuala ya richmond, meremeta,kagoda,epa,upotevu na hujuma za wanyama wetu, maisha magumu kwa mtanzania, ufujaji wa raslmali zetu, madawa ya kulevya n.k
Ni ushenzi mtupu.
Nitajitokeza kweupe kupgania nchi yangu kwa damu yangu.
 
MODS HEMBU ACHENI HII CHANGAMOTO YA USALITI TUICHAMBUE (acheni huu uzi) Ndugu wadau hususan wana jf nimekuwa nikifatilia siasa ndan ya chadema kwa muda mrefu hasa juu ya kile kinachotafsiriwa usaliti wa mh zzk na kufikia hatua ya kujiuliza maswali mengi mf kati ya mh zzk na shibuda hiv ni nan hasa msaliti. Mara nying tumekuwa tukimuona mh shibuda akijitokeza wazi kwenye vikao na mikutano ya ccm na kukisema chama kimafumbo lakin hatujawah kusikia chama kikimjadili kama wanavyomjadili sasa mh zzk ambaye mara nying amekuwa akijitoa kujenga chama katika mikoa mbalimbali tofaut na shibuda. My take: usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi
too late
 
Kwa vile mods wameuacha uzi huu na kufuta nyingine zenye mashiko zaidi; bila hiana wacha tuchangie.

Ni hivi Mh. Shibuda ameshakuwa neutralized, hana madhara tena. Upande wa Zitto zilifanyika juhudi kubwa sana kumrekebisha na ilipobidi kumshawishi lakini wapi. Hasa Mh. Mbowe alimbeba sana Zitto akiamini angerudi kwenye mstari.

So each case was evaluated and dealt with individually and separately.
we ndo msemaji wa mbowe n mtei saccos
 
Back
Top Bottom