philemon e gobre
Member
- Dec 20, 2013
- 59
- 7
Wewe wasema
Atatolewa kafara???????
Atatolewa kafara???????
Mkuu awali nilikuwa naelewa km ww ila nikawa pia nahisi usariti kwa mbali ulohitaji uthibitisho hata juzi niko na wazee furan hv wa ccm tena ni mainformer nikaguswa na cost anaZotumia ZZK cortin nikaropoka "Ila ZZK wanamgarimu sn kwny hii kesi" wazee mainformer wa ccm wakanicheka sn nakuropoka garama za ccm hzo yy hana chakugarim hapo na tena analipwa hapo kwa mda anaotumia mwingne akadakia huyu kijana vp haelewi hata hyo kesi imedraftiwa na Jaji wa ccm kumpa Msando,,, Frm dat point nw nimeamin mengi sn ya usarit wa Kabwe hata zile billion amekula kweli nw yupo kuvurugga chama mahakamani na c kngne,,,kwa hili la Kabwe ss niko tayar kwa kujiamin kucmama popote kuongelea usarit wke,,,na kesho nitaendelea kuwachimba sn hawa mainformer wa ccm ntajua,,,,
View attachment 130287Hivi Mzzee wa makomandoo wa Afganstan, Libya ,Irak yuko wapi siku hizi?
Wewe ndiyo mpuuzi unaburuzwa hata hujielewi bavicha wa ajabu kweli nyie.Peleka upuuzi wako Lumumba.
MODS HEMBU ACHENI HII CHANGAMOTO YA USALITI TUICHAMBUE (acheni huu uzi)
Ndugu wadau hususan wana jf nimekuwa nikifatilia siasa ndan ya chadema kwa muda mrefu hasa juu ya kile kinachotafsiriwa usaliti wa mh zzk na kufikia hatua ya kujiuliza maswali mengi mf kati ya mh zzk na shibuda hiv ni nan hasa msaliti.
Mara nying tumekuwa tukimuona mh shibuda akijitokeza wazi kwenye vikao na mikutano ya ccm na kukisema chama kimafumbo lakin hatujawah kusikia chama kikimjadili kama wanavyomjadili sasa mh zzk ambaye mara nying amekuwa akijitoa kujenga chama katika mikoa mbalimbali tofaut na shibuda.
My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi
Kamati mbona hadidu rejea mh shibuda hayupo mnamuonea zito kwa kuwa yeye ni tishio kuliko shibuda ???
MJEPU haujambo? Nakujulisha siyo kila anayevaa kanzu ni sheikh na siyo kila mpinga CCM ni BAVICHA amka kijana.Wewe ndiyo mpuuzi unaburuzwa hata hujielewi bavicha wa ajabu kweli nyie.
Mkuu awali nilikuwa naelewa km ww ila nikawa pia nahisi usariti kwa mbali ulohitaji uthibitisho hata juzi niko na wazee furan hv wa ccm tena ni mainformer nikaguswa na cost anaZotumia ZZK cortin nikaropoka "Ila ZZK wanamgarimu sn kwny hii kesi" wazee mainformer wa ccm wakanicheka sn nakuropoka garama za ccm hzo yy hana chakugarim hapo na tena analipwa hapo kwa mda anaotumia mwingne akadakia huyu kijana vp haelewi hata hyo kesi imedraftiwa na Jaji wa ccm kumpa Msando,,, Frm dat point nw nimeamin mengi sn ya usarit wa Kabwe hata zile billion amekula kweli nw yupo kuvurugga chama mahakamani na c kngne,,,kwa hili la Kabwe ss niko tayar kwa kujiamin kucmama popote kuongelea usarit wke,,,na kesho nitaendelea kuwachimba sn hawa mainformer wa ccm ntajua,,,,
jibu hoja kama ni usaliti angekuwa shibuda alikataa kutoka katika kumsikiliza rais bungeni, alienda kwenye sherehe ya kumpongeza raisi kushinda, amewakosoa viongzoi wa juu tena hadharani nje a vikao je kamati kuu mbona hamkuchukua uamuzi wowote hata karipio tu?? je usaliti wa zito ndio umezidi kuna agenda y siri kwamba viongozi wa juu walikua wanamtaget zito ili wamfukuze hoja ya usaliti ni kini macho kama mwerevu ataelewa ila kwa mburula atabalki kuleta matusi
MH SHIBUDA akihojiwa hot mix alisema wazi kwamba chadema sasa haina tofauti na ccm katika utoaji wa maoni je huo sindio usaliti je kamati kuu hamkuangalia kipindi cha EATV au umekaushia kwa kua is not man u r interested with hii ni doublestandard
tusubiri anguko zito la chademaNonesense Chadema bila ZZK sidhani kama inawezekana
hakika zito anatolewa kafara kwa sababu ya posho, uenyekiti, matumizi mabya ya rasilimali za chama alizokua akihoji suala la usaliti ni kama waingereza wanavyosema give a dog a bad name in order to kill it, kwa wanapenda sana mbwa hivo kumuua lazima useme anakula vifaranga nk je kamati kuu mbona shibuda muda wote mmemuacha ni kwa kuwa hazuii mirija yenu, vilevile mnamuona sio threat, waraka wamabadiliko walioandaa wamekiri wazi zito hahusiki mnakazania tu je kwann tusiamini kwamba kuna hidden agenda na si usaliti
kunywa gongo na viroba ni hatari kwa afyaMASIKINI mkulima !!!!