Recent content by adb

  1. A

    Mh Rais sikia kilio cha vijana hawa wasomi waliojiajiri na kujenga kiwanda cha kuchenjua dhahabu

    Ndio,uongozi wa wilaya ya Nzega unafaham jitahada na changamoto za vijana hawa,pia wamekwenda taasisi nyingi sana za fedha bila mafanikio kwani bank nyingi za hapa nchini hazitoi mikopo sekta ya madini hasa katika level hii ya SME
  2. A

    Mh Rais sikia kilio cha vijana hawa wasomi waliojiajiri na kujenga kiwanda cha kuchenjua dhahabu

    Hapana hawa vijana wame advance kutoka huko kwenye kuchimba kwa zana duni hadi kujenga hicho kiwanda cha kuchenjua dhahabu,hawa vijana wao wananunua michanga kutoka kwa wachimbaji wadogo naku-process kwenye kiwanda chao so hawa vijana kwa namna moja au nyingine wana-suport pia juhudi za...
  3. A

    Mh Rais sikia kilio cha vijana hawa wasomi waliojiajiri na kujenga kiwanda cha kuchenjua dhahabu

    Changamoto kubwa ni mtaji wa kuanzia uzalishaji kwani ujenzi umekamilika,mtaji wanaohitaji ni kwa ajili ya ununuzi wa mabaki ya mchanga kwa wachimbaji wadogo(takribani tani 2,000),usafirishaji kwenda kiwandani,kemikali zinazotumika kuchenjulia na gharama za uendeshaji kama chakula,mafuta ya...
  4. A

    Mh Rais sikia kilio cha vijana hawa wasomi waliojiajiri na kujenga kiwanda cha kuchenjua dhahabu

    Ni jambo jema kwakweli kuona vijana wetu wanajituma na kujiongeza namna hii,biashara ya dhahabu ni nzuri hasa uchenjuaji kwani tayari unakua umepunguza risks nyingi sana...
  5. A

    Mh Rais sikia kilio cha vijana hawa wasomi waliojiajiri na kujenga kiwanda cha kuchenjua dhahabu

    Ni vijana watano wahitimu wa vyuo vikuu waliojiajiri. Safari yao ya ujasiriamali ilianzia kwenye kilimo. Mwaka 2015 walafanikiwa kusajili kikundi cha Nzega Agribusiness Association(NAA) wilayani Nzega. Walianza kwa kulima mtama mwekundu katika wilaya ya Igunga ambapo walilima jumla ya ekari 70...
  6. A

    Ni vitambaa gani bora vinavyotumika kushonea nguo,mathalani suti za kisasa?

    Mkuu ukipata majibu huko utumegee na hapa tafadhali
  7. A

    Ni vitambaa gani bora vinavyotumika kushonea nguo,mathalani suti za kisasa?

    Habari wadau, Ningependa kufahamu ni aina gani ya vitambaa bora zaidi vinavyotumika kushonea nguo hasa suti za kisasa na nguo nyingine zinazo tamba kwa sasa... Kwa wadau wa fassion na yeyote mwenye ufaham tafadhali naomba msaada.
  8. A

    Kwa kauli hizi naamini Zitto Kabwe ni raia wa Burundi

    Sijui ughaibuni wamempa nini maana kabadilika toka ametoka huko...
  9. A

    Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Midundo ya ngoma zinazopigwa na ccm inasikika vyema,acha waendelee kuicheza...
  10. A

    FAO LA KUJITOA: Tundu Antipas Lissu Kupigania Wafanyakazi

    Hatuna budi kuungana juu ya hili
  11. A

    Kamanda Sirro awajibu waliosusia maiti ya kijana aliyeuawa akihisiwa kuwa jambazi

    Ni maajabu "jambazi" ambae hana silaha alitaka kuvamia gari lililokua linasambaza pesa huku likilindwa na askari wenye silaha...alafu yanatoka majibu mepesi kabisa kwa sintofaham kama hii
  12. A

    PPF waanza kueleweka, kama wewe ni muhanga wa fao la kujitoa fanya hima

    Bado kuna tatizo hapo,haiwezekani pesa niliyokatwa kwa "lazima" (kwa mujibu wa sheria)...ninapoihitaji napewa masharti...suala la kuacha kazi lina sababu nyingi,waache urasimu watoe pesa kwa wote!!
Back
Top Bottom