Recent content by Adam mtiga

  1. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania 160 wanyongwa China jana

    Haji saluuu kweli we.........., akutoleee tamko kwa uroho wako wa utajiri kweli wewe mburula
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania 160 wanyongwa China jana

    Jengeni ya kwenu ili watu waone kuwa mnaweza. Mnapewa ruzuku ma misaada inafanya kazi gani? Au ndo kiruka na choper hamtudanganyi chadomo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi mh. Mbowe umeturogea wapi wanaCHADEMA

    simiyu sio mia moja ni mia nne na hakuna chochote mjasiliamali dj mbowe na wenzie tayari wameisha zipiga tumbo kubwa
  4. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    Huuuu ndo ukweli Dj ni mjasiliamali watakula vipi? Pesa tumia choper hakuna maswali
  5. A

    JamiiForums Tanzania Sasa nahama CCM na kuhamia CHADEMA rasmi.

    Huoni ufisadi wa Dj mbowe, Silaha ya kula mamilioni ya pesa za sabodo za visima. Kula rambirambi za marehemu Arusha na iringa pia wanalipana posho wao tu je? Viongozi wa mikoa na wilaya wanalipwa sh ngapi?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kikao cha NCCR-Mageuzi ni funzo kwa vyama vya upinzani.

    c.c.m.
  7. A

    JamiiForums Tanzania CCM yapita bila kupingwa Lushoto

    Viongozi wa juu wa chadomo hawawezi kukubali wapoteze muda wao pesa zao na hata nguvu zao maana wao wapo kimaslahi zaidi kwa hiyo walichogundua kuwa Lushoto hakuna vibaka wazoefu kama Arusha na Mbeya kwa ajili ya kufanya fujo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

    Yanapomuhusu Dj Mbowe ni mambo binafsi ila yapomuhusu Kapuya ni ya kitaifa. Tunaacha kuelewa kuwa viongozi wooote ndiyo kioo cha jamii na chama chake. Ila kwa chadema hiyo ni tabia yao maana katibu kachukua mke wa Mtu Mwe.yekiti kachukua pashkuna na kaiacha familia yake
  9. A

    JamiiForums Tanzania Chadema ni msingi muheza kumekucha!

    Kweli usilolijuwa usiku wa kiza yosepher ni mtoto wa genge na mpenda maendeleo ya kweli na ndiyo maana havurugi kwao kwa matusi wala kashfa kwani anaelewa kesho.................. nyumbani
  10. A

    JamiiForums Tanzania Chadema ni msingi muheza kumekucha!

    Ndio anao uwezo binafsi wa kuchimba na kuwahudumia wananchi wake kwa gharama nafuu na tena amechimba akiwa bado hajawa mwenyekiti. Je? Dj. Mzee wa gongo na jambazi wamechimba wapi? Kwa kutumia pesa ya sabodo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Yanga yaichapa 3, ankara sekerspor

    Toa ushahidi wako na sio kuandika uk .................ku........
  12. A

    JamiiForums Tanzania Chadema ni msingi muheza kumekucha!

    Weeeeeee muntu naona unaota kata genge hawawezi hata kwa kutambaaaaaaa huku kuna vichwa sio makapi watu wa genge wanataka sera na sio matusi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Chadema ni msingi muheza kumekucha!

    MBONA VISIMA VYA SABODO HATUVIONI hapa Muheza hata kimoja NA PESA WALIPEWA Dj, Mzee wa gongo, na jambazi la arusha
  14. A

    JamiiForums Tanzania Chadema ni msingi muheza kumekucha!

    Hiii chadema ya muheza ni Academy au .............., maana weupe
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Wooote uliowataja wanakuona tobwe maana bei ya umeme mi dezo, alafu nani? Aingie mtaani kwa manufaa yako walipigana mababu zamani sasa hivi kazi kwanza ugomvi baadae upo
Back
Top Bottom