Recent content by Adam Manyama

  1. Adam Manyama

    Makonda: CHADEMA wamekimbia kufanya mikutano na kuanza kulilia vyombo vya habari kufanyiwa mahojiano

    Yahani ni aibu. Waswahili wanamsemo wao unasema, ukiwa muongo husiwe msahulifu. Mwingine unasema, .njia ya muongo ni fupi. KWELI NIMEAMINI. HIvi bashite ak Makonda amesahau kile alicho kifanya CLOUDS FM . Hamesahau halicho kifanya mpaka NAPE hakasimamishwa na Kwenda zake. Basi kama kutokujitambu...
  2. Adam Manyama

    Kinana: Wasimamizi wa Uchaguzi watakuwa Waadilifu na Waaminifu mnataka nini tena?

    Ccm bana kinana anasema wasimamizi watakuwa waminifu?. Kumbe wale wakurugenzi tulio aminishwa kuwa ni waaminifu walikuwa wezi. Basi tunaomba atueleze walivyo tuibia
  3. Adam Manyama

    Mo Dewji: Ijumaa ya Leo ninawakumbuka Waafrika wenzangu walioniombea nilipotekwa Nyara, Ninawashukuru Milele!

    Mo hivi kweli waliokuteka hauwajui ama ulipewa kiapo kitakatifu. Si useme tu kama wapo. Msemakweli ni mpenzi wa mungu
  4. Adam Manyama

    Tatizo la viongozi wa nchi hii ni elimu, kiburi au dharau?

    Nimekaa na kutafakari na hadi muda huu sijapata jibu sahihi. Baada tu ya mwenyekiti wa CHADEMA kutangaza maandamano th 24/01/2024, Ni kiongozi wa ngazi ya mkoa (mkuu wa mkoa) anaamuru vikosi vya ulinzi kufanya usafi siku hiyo. Je nani ni amri jeshi wa nchi hii?. Kumbe shida siyo katiba tu bali...
  5. Adam Manyama

    CCM yavunja Katiba na Sheria ya chaguzi kuokoteza Watoto wa Watawala na Kuwafanya Watawala Wajao!

    Wewe unakaa nchi gani?. Ama haufatilii mambo ya nchi hii. Tatizo lenu vijana wa ck hizi ni wavivu hata kufatilia mambo muhimu JE HAUJUI MKATABA WA MWITONGO ?.
  6. Adam Manyama

    Kanda ya Nyasa: Maandalizi ya Oparesheni 255 yakamilika

    Hivi bado kuna mpango wa kuuza bandari zetu
  7. Adam Manyama

    Dkt. Wilbroad Slaa atumia lugha kali dhidi ya Rais Samia

    Wewe unaotuona watanzania kuwa hatuelewi katiba na inatakiwa tuelemishwe kwa muda wa miaka mitatu. Bila kuhesabu muda waliotumia akina mzee Warioba na bunge la katiba. Mbona serikali haitupi muda sisi watanzania tusioelewa mikataba, huu mkataba wa BANDARI serikali itoe elimu kuhusu huo mkataba...
  8. Adam Manyama

    Kama sio Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Watanzania tulikuwa tunapigwa na kitu kizito sana na DP World

    Ndugu, serkali ya ccm ni sikio la kufa halisikii dawa. Watu wamesha chukua chao na bandari yenu lazima wainywe tu
  9. Adam Manyama

    Watanzania tulihuzunika na Nape alipotolewa bastola hadharani lakini hivi sasa anatulipa jeuri na kiburi?

    Nape namfahamu tangu anasoma Nsumba sec ni kilanza,hazimo anapolojo tu na kulopokea wakubwa. Anabebwa na uzawa unajua marehemu baba yake.?
  10. Adam Manyama

    Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Mayala rafiki yangu ni kweli kuna mihimili mitatu, yahani , Sarikali,Bunge na mahakama. Hii kwa tanzania ndiyo lakini inabakia kwenye kitabu cha katiba. Kwenye utendaji tanzania ina muhimili mmoja na vivuli vya mihimili miwili. Namaanisha kuwa tuna muhimili wa Serikali na vivuli vyake yahani...
  11. Adam Manyama

    Mkataba wa Bandari: Rais amkane Mwarabu, vinginevyo ni maslahi yake na sio ya Tanganyika

    Mimi nikitafakari nakosa jibu, hivi nchi hii kwanini tunapata watawala wa hivi. Tangu ukoloni hadi karne hii. Niko mtoto tulisoma historia kuwa chifu Mangungo aliuza kisiwa kwa kitambaa cha kuzunguka kisiwa. Na hicho kitambaa ilikuwa si kwa ajili ya wananchi ball chake na wapambe wake. Mimi...
  12. Adam Manyama

    Marufuku ya Msajili wa Vyama kuwa viongozi wa Dini wasishiriki kwenye siasa iko sawa

    Ndugu chazo cha utawala ni MUNGU na alikuwa na makusudi yake kuweka watawala na manabii .Na manabii kazi zao ni kuakikisha mtawala anatawala kama vile MUNGU anataka watu wake watawaliwe. Nakuomba usome biblia 1samweli 8 na alipokuwa mzee, aliwafanya wanawe wawe waamuzi juu ya Israeli. 2 Na jina...
  13. Adam Manyama

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mbeya Bahati Ndingo Ajiuzulu, Ili Kugombea Nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali

    HAKUNA UCHAGUZI TOKA 2020 MPAKA 2025. Bunge la ccm linalopitisha kila kitu . Hayo yote ni matunda ya dhuruma. Na Magufuli watanzania hatutamsahau kwa kuminya demokransia na tune guru ya uchanguzi leo tuna bunge la ajabu na spika kituko. Tangu lini hasiyechaguliwa akawahehimu wananchi? ...
Back
Top Bottom