Kwa mfano niliondoka kazini kinyemela zaid ya miaka mi3 bila taarifa(barua) wala nyaraka yoyote(serikalini),nikirudi si ntakuta barua yangu ya kuachishwa kazi...?
Maana nilishatolewa hadi kwenye payroll zaidi ya miaka miwili sasa',lakini sijawahi kufanikiwa kurud halmashaur niliyokuwa nafanyia kazi
Kuna hoja zingine kama GT unapaswa kufikiri kwanza kabla ya kuja kuchapisha humu jamvini,Bunge si mhimili unaojitegemea,Rais anapata wapi mandate ya kumtumbua [emoji536] [emoji344]!!?
Mimi mkatoliki mwenzangu hata afanye madudu gani, hata aseme pumba gani, as long as ni mkatoliki and is at whelm, hata sijishughulish kumfatilia...nawaaamini sana hawa ndugu zangu katika bwana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.