Hayo ndio madhara ya mzazi kuwa mkali hadi kupitiliza. We mwenyewe unajiona unajua kweli kulea kumbe unaharibu. Tusichape watoto kupitiliza. Njia nzr ya kumwonya mwanao ni kuzungumza nae. Atakuelewa tu
Unapoomba balance kwa kutumia sim banking majibu yasije kama popup msg. Naomba kupokea jibu la balance kama msg ya kawaida ili nikitaka ku save niweze. Fanyeni kama ukiwa unauliza tigo pesa balance
ni wewe mwenyewe hukutaka kujipanga kabla ya kuoana.mlitakiwa mjadiliane malengo yenu ya kimaisha yatakuwaje.kama ulimwonyesha kwamba unayaweza yote wewe mwenyewe,basi mkeo akaona haina haja ya mchango wake sasa kaa nae kwq upole elimishaneni kwa utaratibu na sio amri au kususiana.kila mtu...
Namkumbuka mwalinu ndossy...
Muhimbili primary. Akikohoa tu shule nzima kimyaaa.korokodilo....
ndio tusi lake. Mkaliiii aisee. Fimbo zake akikupiga lazma mikono upitishe kwenye matundu ua ukuta ka umekumbatia ukuta Ila alisaidia sana kufaulu
Utaratibu wa kulipia ckukuu zilizoangukia wk end ni mzuri sipokuwa maamuzi yasifanywe ghafla kama ya leo. Umeniharibia ssana bajeti.yaani na kesho mchana chakula tunapika cha watu 10 kama leo looo na jumanne tena duuu. Ingekuwa ni siku ya kazi nyumba yng hakipikwi mchana hakunaga watu wa kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.