Hii miaka hamsini sio tunasherehekea kwa kucheza ngoma ,kuvaa tisheti,kubeba mabango ya kupongeza ujinga na kujipatia pa diemu, ukiwa kama msomi ni muda wa kuji evaluati usomi wako umetumikaje kuikomboa jamii, sio unasema tu tuna amani hebu tuache fikra butu, difinisheni ya amani inaanzia kwenye...